Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 132 Oct 20, 2010 #21 daha!!! kweli dunia inaelekea ukingoni
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Oct 20, 2010 #22 Rutashubanyuma said: Hospitali zinao uwezo wa kuurudisha ulimi kama utakuwa umenyofolewa ndani ya masaa ishirini na manne tu. Kwa hiyo huyo atakuwa amechelewa tu Click to expand... Hata hapa kwetu Tanzania Mkuu?
Rutashubanyuma said: Hospitali zinao uwezo wa kuurudisha ulimi kama utakuwa umenyofolewa ndani ya masaa ishirini na manne tu. Kwa hiyo huyo atakuwa amechelewa tu Click to expand... Hata hapa kwetu Tanzania Mkuu?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Oct 20, 2010 #23 Duh...Kumbe wanaume tuko watamu hivi?Nilikuwa siamini ila leo nimeamini,yaani mpaka watu wanafikia kutoana ulimi!!!!!!!Pole zake mhanga wa tukio hilo mungu atamtia nguvu na kumponya haraka.
Duh...Kumbe wanaume tuko watamu hivi?Nilikuwa siamini ila leo nimeamini,yaani mpaka watu wanafikia kutoana ulimi!!!!!!!Pole zake mhanga wa tukio hilo mungu atamtia nguvu na kumponya haraka.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Oct 21, 2010 #25 aaaaaah,hatujazoea jamani mambo ya kutoana damu msiweke madude haya hapa please