Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 453
- 1,104
NCHI HII HAINA USAWA KABISA.
Nafasi zote za juu huteuliwa wao na familia zao au jamaa zao au rafiki zao. Mwananchi maskini kutoka Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu ambaye hana unasaba wala uswahiba na Kikwete, Nauye, Makamba, Samia au koo zao au rafiki zao au chama chao KAMWE HAWEZI KUONEKANA KWENYE TEUZI AU NAFASI ZA JUU ZA NCHI HII.
Na ndio maana BOT, TPA, TPDC wamejaa watoto wao na rafiki zao tu.
Sisi wengine tumejazana huku kwenye Udaktari, Unesi, Ualimu, Upolisi na magereza kwenye mishahara ya laki nne au tano BILA POSHO WALA MARUPURUPU.
Ifike hatua sisi wananchi tusio na ndugu au jamaa wa kutubeba tukemee na kulaani tabia hii ya VIONGOZI WA CCM.
Inauma sana kuona kuwa Nchi yetu sote ila maslahi mazuri ni ya kwao wao tu.
Nina huzuni kuu moyoni.
BAADHI YA MA DAS WAPYA.
HONGERENI SANA.
Geofrey Moses Nauye
Justice Lawrance Kijazi
Shauri Selenda Msuya
Neema Michael Magembhe
John Kulwa Mgalula
Ramadhani Salmin Possible
James Godfrey Mkumbo
James Francis Chalamila
Ruth John Magufuli
Fatima Said Kubenea
Pendo Daniel Ndumbaro