Imeniuma sana

The very effective healer in this matter is TIME. She needs time to heal, to think over.
Inawezekana hajawahi kumwangalia mme wake kwa jicho la tatu....labda sasa ni wakati wa kufanya hivyo. Akishatuliza akili then anaweza kuamua kama bado anahitaji partneship ya aina hiyo....anahitaji muda kuona kama ataweza kumwamini tena huyo bwana......mostly anawahitaji sana watu wake wa karibu kupita katika mapito haya.

Kwa mtazamo wangu wanaume wanaofanya haya ni wale ambao wanahisi kwamba wao kuoa ni kama msaada mkubwa sana kwa mke....yaani ni favour yeye kuoa...
Huwezi kumtendea mabaya mshirika wako wa maisha..
..
 


Hapo ndipo usanii unapoanzia. Lakini kwa vile mke wake amekataa kumfikisha kwa pilato, binafsi naamini hiyo ndoa haijafa. Hayo machozi ya mwanamume yatamliza hata mke wake na wote wataenda chumbani kuyafuta. Hapa ndipo suala la mapenzi lipopingana na theories/logic zingine za maisha ya kawaida. The drama has just begun, keep us informed.
 
Huyo jamaa ni mshenzi na watu wa aina wanatoka kila kabila kwani tabia hii ni hulka.
Hata hao wakurya sidhani kama wanaweza kupiga wake zao kwa sababu hiyo.
Nanyi dada zetu kabla hamjajiingiza kwenye mahusiano ambayo yanafikia kwenye ndoa chunguzeni kwanza maana siku hizi mara nyingi mnaangalia pochi/hadhi nk [sisemi kuwa huyu dada naye yuko kwenye mkumbo huo]
WATU WA PWANI WANA MSEMO KUWA 'MWANAMKE HAPIGWI NA AKIPIGWA BASI HUPIGWA NA UPANDE WA KANGA.
 
...pamoja na yote,
sidhani kama hii ni mara ya kwanza mwanamke huyu kushushiwa kipondo na huyo mumewe, ndio maana alimuonya hata Babra asiiguse simu ya mumewe.
Ni bora kutokutia maneno mengi, wanajuana hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…