Imepotelea wapi michuano ya Copa Cocacola na Taifa Cup

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Hii michuano ilileta sana msisimko kipindi kile na kuibua vipaji.

Je, imepotelea wapi?

TFF inampango gani na kuirudisha michuano hii?
 
Hii michuano ilikua inaleta hamasa sana. Wairudishe asee ila Wachezaji wa Ligi kuu iwe mwisho watatu tu.
 
Yaap walisema wasizidi watano kwenye timu moja, kwa mara ya mwisho
 
Watafute hata wadhamini wengine copa irudi
 
Hii michuano ilileta sana msisimko kipindi kile na kuibua vipaji.

Je, imepotelea wapi?

TFF inampango gani na kuirudisha michuano hii?
Kaka vipaji vilivyoibuliwa leo vimebaki vingapi uwanjani?
 
Vilishapita maana hakuna michuano mipya iliyochezwa hivi karibuni, huendatungekua na vipaji vingi zaidi ingeendelea kuwepo
 
Baada ya Jiwe kuingia madarakani biashara nyingi zilishuka makampuni mengi hayakuwa yakipata faida tena, mmoja wapo ni hawa wadhamini cocacola, mambo ya kibiashara yaliwaendea kombo wakaachana na udhamini.
 
Duuh😂😂😂
 
Mbona hata kabla ya jiwe ilishapotea hii michuano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…