imethibitika; Malinzi ndiye kikwazo kwa Taifa stars

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Kweli Malinzi alikuwa kikwazo aisee yaani kawekwa "rumande" siku mbili tu, tumeshaaanza kuifunga South Africa

Je angefungwa mwaka kabisa si tungeshachukua kombe la dunia kabisa.
 
Leo hii Bavicha ndio watetezi wa Lowasa??

Ama kweli malipo hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…