Tanzania maendeleo ni mchakato lakini viongozi na watawala wa dola ,bunge na mahakama wamejiwekea sheria za kuwafanya wawe mabilionea kwa haraka. Hawataki katiba itakayowahoji kulikoni nyie ni mabilionea kwenye nchi maskini?
Wenzetu inakuaje mnajilikisha mishahara minono,magari mazuri,ardhi kubwa ,nyumba za serikali na makampuni ya ujenzi ni yenu kwa mgongo wa serikali?
Vyama vilivyopigania uhuru na watu wake walikua ni wabinafsi sana . Wale waliofanikiwa kutolewa na kuondosha vizazi vile vyenye huloa za Kikoloni walifanikiwa sana.
CCM ni adui wa Uhuru,haki na maendeleo ya wote.
Wamejimilikisha mazuri ya nchi kwa mgongo wa uzalendo huku kundi kubwa likiwa halijui miaka 50 wataishi wapi na kwa uchumi upi?
Watu ni wabinafsi zana ndani ya CCM na dola lake. Wanaua watu kulinda madaraka na mali zao.