Rwanda ni sawa na mkoa mmoja ndani ya Tanzania, hivyo ni rahis kupata maendeleo ya haraka.
Burundi mbona haipati maendeleo ya haraka?
Masaki na Oysterbay wamewekeza mafisadi ya CCMTanzania maendeleo ni mchakato lakini viongozi na watawala wa dola ,bunge na mahakama wamejiwekea sheria za kuwafanya wawe mabilionea kwa haraka. Hawataki katiba itakayowahoji kulikoni nyie ni mabilionea kwenye nchi maskini?
Wenzetu inakuaje mnajilikisha mishahara minono,magari mazuri,ardhi kubwa ,nyumba za serikali na makampuni ya ujenzi ni yenu kwa mgongo wa serikali?
Vyama vilivyopigania uhuru na watu wake walikua ni wabinafsi sana . Wale waliofanikiwa kutolewa na kuondosha vizazi vile vyenye huloa za Kikoloni walifanikiwa sana.
CCM ni adui wa Uhuru,haki na maendeleo ya wote.
Wamejimilikisha mazuri ya nchi kwa mgongo wa uzalendo huku kundi kubwa likiwa halijui miaka 50 wataishi wapi na kwa uchumi upi?
Watu ni wabinafsi zana ndani ya CCM na dola lake. Wanaua watu kulinda madaraka na mali zao.
Utaishi kwa amani Rwanda ukilitaja jina la Kagame kwa mazuri.Kiukweli Rwanda wako vizuri japo sina uhakika katika uhalisia wa maisha katika nyanja zote za maisha ie kijamii,kiuchumi, kisiasa,sayansi na tekinaolojia ukilinganisha na picha tunazoziona.
Kwa uzoefu uongozi wa kiafrika unatabia za kutengeneza kikundi cha watu wachache wakila mema ya nchi na wananchi walio wengi kupigika
Yeah na yule mzee yuko vizuri kwenye propaganda pia kuthibiti taarifa zinazohusu Rwanda kutoka nje Kama alivyokua anafanya mwendazake kuhakikisha anasifiwa kuanzia asubuhi mpaka jioniUtaishi kwa amani Rwanda ukilitaja jina la Kagame kwa mazuri.
Masaki na Oysterbay wamewekeza mafisadi ya CCM
Anadhibiti vipi taarifa wkt Kuna internet na watu wengi Wana access za internet(kabla ya Corona wakifanya kampeni ya kila mwananchi asiye na uwezo wa kua simu kununuliwa Simu ya mkononi yenye internet na kampeni ilienda vzr kabla ya kukatishwa na Corona) Na juzi mama Samia amesema kwny mambo ya tech au internet huko Rw wametuzidi.Sijawahi kuwasikia hata wakilalamika kutumia VPN Kama sisi.Yeah na yule mzee yuko vizuri kwenye propaganda pia kuthibiti taarifa zinazohusu Rwanda kutoka nje Kama alivyokua anafanya mwendazake kuhakikisha anasifiwa kuanzia asubuhi mpaka jioni
ππππ umenikumbusha jamaa mmoja humu JF hua anaandika waafrika Ni kima waliochangamka.Warundi ni Waha waliozubaa.
Waha ni warundi ni waliochangamka
Watakua wameenda wapi?Hao wanajeshi wenzie hapo kuna aliekuwepo hai mpaka leo???
asee sio vizuri kujitusi hivi lakini nimecheka sana... π π πππππ umenikumbusha jamaa mmoja humu JF hua anaandika waafrika Ni kima waliochangamka.