Jamaa tajiri sana akaugua na akijua atakufa tu kamwambia mke wake amzike na hela zake mkewe kakataa weee,mwishowe kasema sawa.
Siku ya kuzika kaweka boksi kubwaaa, jamaa wakamuuliza nini hicho? Akasema ni mahela ya mume wangu aliagiza azikwe nazo. Basi wakampokea wakauliza mbona boksi lenyewe jepesi kuna hela kweli humu? Akasema nimemwandikia cheki/hundi na yeye ni mweka saini.
Jamani tutoe zaka na kusaidia maskini.
Happy new year 2016!