Ndo hivyo.Kwa hiyo wazungu wote hawatakiwi?
Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.Wakuu mliohitimu Cuba, kama Lunyasi walivyomfix mzungu ndivyo waarabu wa Uto watavyomfix jamaa yetu.
Jamaa yetu ni liability ambayo waarabu washaona itawatesa huko mbele. Kidogo kidogo akikosa attention atayavagaa kama "leta mzungu" biashara ifie hapo.
Uto wameamua kufanya kazi na watu professional na serious sio mbwigumbwigu!
Msemaji mpya katoa muongozo, "hatutaki maafisa habari maarufu kuliko wachezaji!" Kwa kauli hiyo alumni wa Cuba tukapiga ishara ya msalaba!
Hongereni uto, mbwilambwila zife tuongee mpira!
Mkuu huu uzi maalum wa pongezi kwa Uto usiharibu vibe [emoji45]Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.
Maana mko busy na masuala ya Yanga, huku ya kwenu yakiwashinda!
Huwa anachukulia kila kitu serious atapata pressureMkuu huu uzi maalum wa pongezi kwa Uto usiharibu vibe [emoji45]
Mkuu kwani kumtania mtani wako ni makosa?Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.
Maana mko busy na masuala ya Yanga, huku ya kwenu yakiwashinda!
Najaribu tu kuwakumbusha. Maana mna kale kaugonjwa kenu ka kusahahu matukio yenu kwa haraka.
Mbona na wewe kutwa kucha kusema mambo ya Simba au kwa vile mkiwa huko mnajitoa ufahamu? Kweli nyani haoni kundule. Wewe post zako zote ni kuisema vibaya Simba na kuwakejeli wana Simba.Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.
Maana mko busy na masuala ya Yanga, huku ya kwenu yakiwashinda!
Hata siyo kweli. Halafu mimi nimewakumbusha tu.Mbona na wewe kutwa kucha kusema mambo ya Simba au kwa vile mkiwa huko mnajitoa ufahamu? Kweli nyani haoni kundule. Wewe post zako zote ni kuisema vibaya Simba na kuwakejeli wana Simba.