mshamu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 418
- 134
Kama mnavyojua kwa sasa mijadala juu ya bunge la katiba imepamba moto sana kila kona watu wanajadili bunga la kitiba nasi katika kijiwe chetu hapa ofisini mjadala ulikuwa mkali kuhusu gharama za ukarabati wa bunge na wabunge kudai nyongeza ya posho.
Sasa kilichonifanya ni lete uzi huu hapa ni jamaa mmoja ambaye huwa yupo kimya sana katika mjadala wa leo ameangua kilio cha nguvu huku akilaani serikali kuwa .
MUNGU atawalaani yani jamaa kalia kweli mpaka ikabidi mjadala uhaireishwe ila watu walimwonea huruma sana. Wengine wakaseama yasije yakatokea ya misri jamaa akajiua.