Imetokea leo ofisini!

mshamu

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
418
Reaction score
134
Kama mnavyojua kwa sasa mijadala juu ya bunge la katiba imepamba moto sana kila kona watu wanajadili bunga la kitiba nasi katika kijiwe chetu hapa ofisini mjadala ulikuwa mkali kuhusu gharama za ukarabati wa bunge na wabunge kudai nyongeza ya posho.

Sasa kilichonifanya ni lete uzi huu hapa ni jamaa mmoja ambaye huwa yupo kimya sana katika mjadala wa leo ameangua kilio cha nguvu huku akilaani serikali kuwa .

MUNGU atawalaani yani jamaa kalia kweli mpaka ikabidi mjadala uhaireishwe ila watu walimwonea huruma sana. Wengine wakaseama yasije yakatokea ya misri jamaa akajiua.
 
Inaonekana jamaa ana hisia Kali mpaka analia ujue kuna jambo
 
dah mpe pole..
 
Inaonekana jamaa ana hisia Kali mpaka analia ujue kuna jambo

ofkozi hili jambo bila kung'ata maneno linakera sana sana sana,mtu ambaye labda haumizwi nalo ni yule ambaye anapokea hii kitu,kwa sababu hiyo wanayosema haiyoshi kwao kuna wenzao wanapokea kwa mwezi,hapo tu mtu akifikiria ndo atakua anapagawa
 

kweli, mshikaji alikua anatia huruma, unajua mi ilibidi nitoke aisee!
 

No wonder hii nchi haiendelei wala kupiga HATUA...yani hiyo ofisi kuanzia boss wenu ni ma "bogus" kabisa. baada ya kufanya kazi mnakaa vijiwe vya siasa ofisini, tena mapema namna hii afu bila aibu unaleta uzi hapa?? seriously???

nafafanua kwa nini hiyo ofisi wote ni " gabbage"

  1. mjadala mpaka kufikia mtu kuangua kilio inamaana ulikua wa sauti ya juu..sasa ofisi nzima hamna hata mtu aliyejitokeza kuwaonya na kuwakumbusha kua si mahali pake.
  2. boss wenu, mwenye jukum la kusimamia utendaji iweje anaacha ofisi kuwa kijiwe cha siasa
  3. nyinyi mnaofika ofisini kuanza mijadala,mlipewa JD kweli mlipoajiliwa?? na je kama mlipewa kuna popote panatoa nafasi ya kutumia muda wa ofisi kwa mijadala???tena ya siasa
Then utakuta watu kama nyie mnaanza kupiga makelele ya fulani fisadi, fulani fisadi,.....huo mnaofoanya ni ufisadi mkubwa kwani mnamuibia mwajiri wenu "his quality time" huku mwisho wa mwezi mnakinga matumbo yenu na midomo katika pesa zake.

SHAME on you shameless guy, ur not even ashamed to share your stupidity...i doubt if you are educated anyway.

umenichukiza sana..afu unategemea CHADEMA na CCM wakuletee maendeleo...wimp!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni majitu majinga mapumbumbavu yanayoyadili siasa muda wa kazi..BADILIKA.
 
Ungeanza na magogoni ambako nyumba imegeuzwa ya soga una hasira kama vile kuna tija ya kufanya kazi utafanya kazi wakati IKULU imebomoa mfumo wa utendaji kazi kabisa waache waendelee kupiga soga tuu maana sasa wenye nacho ndio wazidishiwao
 

Ndugu mbona povu linakutoka sana au mzazi wako yupo Dom anadi posho nini. Labda nikupe uelewa kidogo si kila ofisi wanafanya kazi masaa yote sisi ni kitengo cha Matengenezo. Hapa ofisini kuna draft na kuna karata kama hakuna kutu kilichaharibika tunacheza draft na kupiga story tu na wala hatuvunji sheria yoyote. Haya umeelewa sasa meza mate au unywe maji ushushe jazba. Tafakari kabla ya kukurupuka kusema.
 


Muulize hivi Huyo wale wabunge wa kwenye bunge la katiba wanafanya kazi gani wakati katiba imeshatungwa?
 
Hata akilia kiasi gani lakini hawezi kumfikia pinda kwa hisia kali.....
 
tyta. huyo jamaa akijua umeleta picha yake huku, hicho kilio chake sijui itakuwaje, isitoshe ni member wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…