Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Pamoja na umuhimu wa kuwa na hotel nzuri pamoja na MAKAMBI ya kulalza wageni ndani ya hifadhi ya Serengeti, sehemu hii inayoitwa Seronera katikati ya Serengeti imetosha.
Sasahivi ukienda Serengeti utashuhudia makambi yaliyokidhiri, yote yamejengwa sehemu moja Ilihali wangeweza hata kutoa vibali kwenye maeneo mengine.
Hifadhi ya Serengeti mnaombwa kulitazame hili kwa maslahi mapana ya uhifadhi. Kama bado Kuna umuhimu wa kuendelea kutoa vibali vya ujenzi wa lodges and campsite basi elekezeni maeneo mengine #SERONERA IS OVER POPULATED