Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Kwani kumejaa ?Pamoja na umuhimu wa kuwa na hotel nzuri pamoja na MAKAMBI ya kulalza wageni ndani ya hifadhi ya Serengeti, sehemu hii inayoitwa Seronera katikati ya Serengeti imetosha. Sasahivi ukienda Serengeti utashuhudia makambi yaliyokidhiri, yote yamejengwa sehemu moja Ilihali wangeweza hata kutoa vibali kwenye maeneo mengine. Hifadhi ya Serengeti mnaombwa kulitazame hili kwa maslahi mapana ya uhifadhi. Kama bado Kuna umuhimu wa kuendelea kutoa vibali vya ujenzi wa lodges and campsite basi elekezeni maeneo mengine #SERONERA IS OVER POPULATED
SureHongera sana mkuu kwa kuiweka hii kwa manufaa endelevu ya utalii.
Ni kweli uhitaji bado ni mkubwa sana wa kulaza wageni, ila inahitaji kuangalia namna bora zaidi ya kutatua hii changamoto.
Kwa mfano maeneo jirani na vijiji pia yanaweza kupewa kipaumbele kwa kutenga maeneo makubwa.
Kuwa na miundombinu mizuri ya usafirii kutokea mikoa wilaya iliyopo mipakani na hizi hifadhi.
Mfano kutoka Arusha kwenda Serengeti.
Siyo kidogoKwani kumejaa ?
Dhank you 😁Ushauri mzuri