wadau,
Niliona mchungaji flani anaalkia wanandoa katika chakula cha jioni(kinalipiwa, si bure) kwa ajili kutoa elimu kuhusu ndoa. yeye kama yeye kaachika!!
hivi inaingia aikilini kupewa ushauri na nasaha za kuishi vema katika ndoa yenu na mtu ambaye yeye mwenyewe kaachika/hayupo ktk ndoa?!?!
Ni sahihi kulipia elimu hiyo(kupitia chakula) amabayo inaendeshwa na mtu wa kanisa??
Binafsi hainikai akili hata kidogo!!!!:embarrassed1:
Mbona waathirika wa HIV/UKIMWI wanatoa nasaha kwa wasioathirika? Ujue mtu ambaye yamemkuta anaweza kukufunza vizuri zaidi kuliko pengine yule ambaye hajakutwa na jambo.
So let the others learn through their mistakes as well if we argue using your point of view.we leárn through our mistakes..nakubaliana na wewe :glasses-nerdy:
Nani anawaambia ndoa ina mafunzo!!!kila kitu kinawezekana sioni tatizo la mtu kumfundisha mafunzo ya ndoa wakati yeye ameachika ni kawaida tu nadhani amejifunza kutokana na makosa hivyo anawashauri wengine wafuate njia iliyonyooka
ni kawaida sana hiyo kitu na kwa taarifa yenu tu hata walimu wa shule za msingi na sekondari uwa wanachukuliwa wale watu waliopata alama za chini (div III na VI) na sio wale vichwa na ndio hao hao walimu walioshindwa kufaulu vizuri wanakuwa walimu ni kawaida tu
Inawezekana........pengine keshagundua kilichomfanya aachike.......wadau,
Niliona mchungaji flani anaalkia wanandoa katika chakula cha jioni(kinalipiwa, si bure) kwa ajili kutoa elimu kuhusu ndoa. yeye kama yeye kaachika!!
hivi inaingia aikilini kupewa ushauri na nasaha za kuishi vema katika ndoa yenu na mtu ambaye yeye mwenyewe kaachika/hayupo ktk ndoa?!?!
Ni sahihi kulipia elimu hiyo(kupitia chakula) amabayo inaendeshwa na mtu wa kanisa??
Binafsi hainikai akili hata kidogo!!!!:embarrassed1:
Si malipo, ni sadaka jamani!!!!