80% ya takwimu zote ni za Copa America hivi lile ni kombe linaloweza kumpa mtu hii tuzo?Leo Messi in 2021:
[emoji153]49
[emoji460]️40
[emoji2402]14
[emoji360]128
[emoji2087]209
[emoji966]27×Man of the match
[emoji1628]La liga top scorer
[emoji1628]Copa America top scorer
[emoji1628]Copa America top assister
[emoji1628]Copa America Most MOTM
[emoji1628]Copa America player of the tournament
[emoji471]Copa America winner
[emoji966]Copa del rey MVP
[emoji471]Copa del rey winner
7th ballon d'Or loading for Messi.......[emoji471][emoji238]
Wewe umetuwekea facts gani hapo juu?
Wataanza kulalamika mbona mwaka jana haikutolewaIMEVUJA
View attachment 1996979
Kwa upande wangu LEO10 anasitahili, no doubt, na vigezo viko wazi.
Unaepinga jiandae kuja na facts with statistics.
Karibuni sana wadau, nawapendeni nyote
Lewandoski apewe ni haki yake haina ubishiNjoo na vigezo vinavyoonyesha anastahili
Kwani umeambiwa ni mshindi wa club?🙂🙂80% ya takwimu zote ni za Copa America hivi lile ni kombe linaloweza kumpa mtu hii tuzo?
Japo najua Adidas watafanya yao Messi ashinde
80% ya takwimu zote ni za Copa America hivi lile ni kombe linaloweza kumpa mtu hii tuzo?
Japo najua Adidas watafanya yao Messi ashinde
Umeambiwa njoo na takwimu sio kulalama tu. Leowandosk alistahili mwaka jana kama ingetolea ila sio mwaka huuLewandoski ana stahili no discussion needed
Hongera kwa kumpa Messi tuzo ndo kujua mpira kuliko wengine,sijui mpira lkn najua tuzo zina propaganda sana hiziNikwamba mkuu, hujui mpira...samahani kwa hilo.
Hii tuzo inatolewa kwa performance ya mchezaji, na sio so Messi ameperform more than any player......
Lewandoski apewe ni haki yake haina ubishi
Hongera kwa kumpa Messi tuzo ndo kujua mpira kuliko wengine,sijui mpira lkn najua tuzo zina propaganda sana hizi
[emoji847]Ili nikuone unajua mpira, basi naomba uje na stats zao tufanye comparison....hapo nitakuona mfuatiliaji wa mpira kamanda
View attachment 1998348
[emoji847]
Katika hao watoto hakuna hata mmoja anayeweza kumfikia messi[emoji851]View attachment 1998358
[emoji238]
Huyu dogo Arat ndio ataachukua kijiti cha LEO10Katika hao watoto hakuna hata mmoja anayeweza kumfikia messi
Dua zangu kwa Karimu mwakan aipateIMEVUJA
View attachment 1996979
Kwa upande wangu LEO10 anasitahili, no doubt, na vigezo viko wazi.
Unaepinga jiandae kuja na facts with statistics.
Karibuni sana wadau, nawapendeni nyote