IMF $1Billion Africa's Biggest Financial Crisis Loan To Ghana: Obama alifata mafuta?!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
The rising 'African Stars' naona wamepewa biggest crisis loan kwa nchi za Kiafrika. Wenzetu naona wamedhamiria, mafuta wataanza kuchimba muda si mrefu. Je, safari ya Obama kule ilikuwa imeyalenga mafuta hayo? Who knows.. It is very encouraging though kuona wenzetu wanatarajia kuwa na uchumi utakaokua at 24%... Hawa wanatuacha na mi-feasibility studies yetu mingi isiyoisha kutafuta mafuta!!!


SteveD.
 
Who knows. Hawa jamaa hawatoi kitu bila ya sababu.
 
Inabidi tuache tabia ya kuangaliana nchi za Africa na kuangalia nchi yetu. Tanzania inabidi itatue matatizo yake kuangalia Ghana ambao wanamatatizo mengi na masikini haitasaidia. Vilevile tunatakiwa tujue kwamba maendeleo kwenye karne hii yataletwa na teknolegia na si mafuta wala gold. Nchi za Asia China, malasia, south Korea hazina mafuta wala gold lakini uchumi wake umekuwa kuliko nchi nyingi za Africa wakati miaka ya 1960's zilikuwa sawa na Africa.India hawana chochote ni wavivu, walarushwa, wachafu, na shule zao za wasiwasi lakini wana teknologia.Mexico ina mafuta na gold lakini wananchi wake ni masikini na wanavuka mipaka kila siku, chakushangaza ni kwamba Canada nchi ambayo ina watu milion 50 ndiyo inaongoza kuuza gold. Maendeleo ya nchi yataletwa na elimu, teknologia,kupunguza rushwa na utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii na hauta tokana na kuchimba mashimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…