IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

Atleast leo tunaeza furahi GDP imeongezeka. Tumekuwa tukisumbuka na mambo ya corruption na scandals ya politics lakini uchumi wetu ni moto wa kuotea mbali. Wanasiasa wana upuzi lakini uchumi uko sawa. Leo nitalala vizuri sana. Hata nitapitia kwa bar.
 
You will post this picture until you get tired.
I would rather 1% of our population live like that, and the other 99% live decently.
Than having 99% of the population live in shanties like is the case in Dar is slum.

View attachment 1067683
Leta google earth ikionesha slum kwa dar ukipata tu nitag

Ona hii miujizaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
GDP ndio uhalisi wa mambo.
Haya ndio matokeo ya mtihani.
Tanzania imeanguka, Kenya ikapita. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini ili tutatue shida zote zetu, tunahitaji gdp ya zaidi $500b.
We're now aiming for the major league. Kushindana na Tanzania tumeona ni ujinga tu.
 
Una uhakika kwamba Nairobi, Mombasa, Kisumu ndio county zile tajiri kabisa Kenya?
 
Atleast leo tunaeza furahi GDP imeongezeka. Tumekuwa tukisumbuka na mambo ya corruption na scandals ya politics lakini uchumi wetu ni moto wa kuotea mbali. Wanasiasa wana upuzi lakini uchumi uko sawa. Leo nitalala vizuri sana. Hata nitapitia kwa bar.
Inaongezeka na maisha yanakua magumu watu wanakufa na njaa so faida yake iko wapi au inaongezeka kwenye makaratasiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Jiji la nairobi maji hakuna alaf unasema GDP inaongezeka hio ndio kazi ya GDP
 
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha. Failed state statements

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtihani hata mmoja kenya munaeza faulu juu ya tanzania

Huwez kufutahia GDP chakula huna, maji huna tena mijini, below poverty line 47%, unemployment rate over 40% alaf unasema GDP
 
New picπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡2019

There is a lot of food in Nairobi and other towns. Most of it going to waste.
The guys in Turkana should move from their isolated huts and move to urban centres. No one dies of hunger in urban areas.
 
Hata sisi tumewapita DRC kwa mbali.
 
Hakuna mtihani hata mmoja kenya munaeza faulu juu ya tanzania

Huwez kufutahia GDP chakula huna, maji huna tena mijini, below poverty line 47%, unemployment rate over 40% alaf unasema GDP
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Siku mingi mmekuwa mkipika data, kuleta fake data hapa JF.
Leo IMF wametoa data zao.
Sio Kenya, sio CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…