Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeripoti kuwa chanjo ni kichochea kikuu cha kukua kwa uchumi kwa nchi zinazoendela kipindi hiki ambacho uchumi wa dunia umeathiriwa na #COVID19
Shirika hilo limekadiria uchumi wa Kenya kukua kwa 5.6% kwa mwaka 2021 kutoka 6.3% iliyokadiriwa awali
Aidha mfumuko wa bei umefikia 6% kutoka 5.2% iliyokuwa mwaka 2020. Uchumi wa Kenya umesinyaa kwa 0.3% mwaka 2020
Ni kichocheo kwa kuwa wale wanaokubali kufanya raia wao panya wa majaribio wa hii teknolojia ya kubadili vinasaba iliyobandikwa jina la chanjo ndo wanapata hizi trilioni ambazo wao wanadai ni za masharti nafuu, lakini wajanja tunajua huo ni mtego.