Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #21
stop consoling urself brother...IMF is nt a forum...😀😀Usishangae chanzo cha habari ni somalia forums hahaha
NopeTanzania gdp is above $55 bln n Kenya's $63 bln
"Shrunk" due to ZAR depreciation. Almost 100% . That's why PPP is the right measure.its is surprising how SA economy has shrinked in the last 4 years from $400B to $294B
Hizi takwimu haziendani na uhalisia. Huku Tanzania kila mara wanakamatwa wakimbizi/ wahamiaji haramu wakisafiri kwenda kutafuta maisha bora Afrika Kusini. Hao watu ukiwangalia wanaonekana wamechoka sana na maisha yao yanaonekana kuwa ya dhiki kuu!
Achaneni na haya matakwimu ya IMF yanawapotosha tu!
its is surprising how SA economy has shrinked in the last 4 years from $400B to $294B
SA hawajawai kuwa na 400billion usdits is surprising how SA economy has shrinked in the last 4 years from $400B to $294B
Dude Ati 63.B you are so 2015!Tanzania gdp is above $55 bln n Kenya's $63 bln
Leo umeongea vizuri sana! Meaningful argumentation!ni kweli unayoyazungumza...kuwa na GDP kubwa haimaanishi kuwa hakuna shida...bado tuna matatizo mengi sana nchi za Afrika...ni heri tumalize uongozi mbaya kisha tukuze uchumi zetu...both Kenya and TZ can compete with SA one day...
91 million lakini kwa aina ya uchumi wao inakuwaje , I'm less informed about Ethiopia'a economy lakini ninavyojua ni state controlled hivyo, naweza nikasema distribution of income ni kubwa kuliko nchi za kibepari... GDP per capital bado si kigezo sahihi maana hakioneshi distribution of national cake among the citizens...Zinaendana tena vizuri sana, fahamu kwamba Ethiopia ni wengi mno, 91m hivyo utajiri wa nchi unakua hauwatoshi. Mara ngapi Wachina wamekamatwa wakisafirishwa ilhali nchi yao ndio ya pili kiuchumi dunia yote.
Angalia kitu kimoja.... GDP ni uzalishaji wa ndani bila kujali ni citizen or non citizen wa nchi lakini haioneshi level of consumption ambayo inaweza kuwa best reflection of the economies ambayo kwa nchi zetu mbili hazijatofautiana sana...watanzania wenyewe wako 51Bn hata sijui wana discuss nini hapa...are their any ethiopians in JF? the bid boys need to talk...the small boys should go and look for their agemates to play
Angalia kitu kimoja.... GDP ni uzalishaji wa ndani bila kujali ni citizen or non citizen wa nchi lakini haioneshi level of consumption ambayo inaweza kuwa best reflection of the economies ambayo kwa nchi zetu mbili hazijatofautiana sana...
Ningekuona wa maana zaidi kama ungetumia HDI kuliko GDP ambayo inaweza kumaanisha high capital inflow and profit outflow
91 million lakini kwa aina ya uchumi wao inakuwaje , I'm less informed about Ethiopia'a economy lakini ninavyojua ni state controlled hivyo, naweza nikasema distribution of income ni kubwa kuliko nchi za kibepari... GDP per capital bado si kigezo sahihi maana hakioneshi distribution of national cake among the citizens...
Ila itawachukua muda wakenya kurudisha himaya yenu maana hawa watu wameshajijua hawana rasilimali hivyo wameegemea katika service sector ambayo inaangalia zaidi manpower na si resources.. All in all hebu nipe hali halisi ya uchumi wa Ethiopia kwa mtu mmoja mmoja
umepata wapi hizi takwimu mkuu??Tanzania gdp is above $55 bln n Kenya's $63 bln
Angalia kitu kimoja.... GDP ni uzalishaji wa ndani bila kujali ni citizen or non citizen wa nchi lakini haioneshi level of consumption ambayo inaweza kuwa best reflection of the economies ambayo kwa nchi zetu mbili hazijatofautiana sana...
Ningekuona wa maana zaidi kama ungetumia HDI kuliko GDP ambayo inaweza kumaanisha high capital inflow and profit outflow
91 million lakini kwa aina ya uchumi wao inakuwaje , I'm less informed about Ethiopia'a economy lakini ninavyojua ni state controlled hivyo, naweza nikasema distribution of income ni kubwa kuliko nchi za kibepari... GDP per capital bado si kigezo sahihi maana hakioneshi distribution of national cake among the citizens...
Ila itawachukua muda wakenya kurudisha himaya yenu maana hawa watu wameshajijua hawana rasilimali hivyo wameegemea katika service sector ambayo inaangalia zaidi manpower na si resources.. All in all hebu nipe hali halisi ya uchumi wa Ethiopia kwa mtu mmoja mmoja
Geza can be quite clownish at times.umepata wapi hizi takwimu mkuu??
Kuna sababu nyingi, lakini kubwa ni drop in mineral output to 18% af kupungua kwa thamani ya currency yao to half of its original value!its is surprising how SA economy has shrinked in the last 4 years from $400B to $294B
Katika ulimwengu wa sasa hatuangalii naked figures katika kulinganisha economies hivyo, the best thing kuonesha ni percentage ratio kati ya walionacho na wasionacho kati ya Kenya na Ethiopia na hii ndiyo itapima peformance kati ya hizi nchi mbili...Kaka Ethiopia ndio ya pili Afrika kwa wingi wa watu, nilikose hapo awali, inakisiwa kuwa na watu milioni 106 ambapo kwa hawa, kuna milioni 37 ambao ni maskini hohe hahe, yaani hiyo kitakwimu ni karibia idadi ya Wakenya wote. Halafu unakosea aidha kwa makusudi au kwa kutokujua kwamba eti Ethipia wanategemea uchumi wa huduma, fahamu hawa ukulima kwao ni asilimia 50% ya GDP halafu wana madini kupita maelezo, Wachina wametiririka huko balaa.
Literacy rate yao ni 49% sasa utawezaje kuwaweka kwenye ushindani wa service sector na Wakenya ambao literacy rate yetu inachezea kwenye 80% pia ukizingatia yenu ni kwenye 70%
Angalia hata kwenye HDI, sisi tunachezea kwenye Medium Human Development wakati wao Ethiopia na nyie Tanzania huchezea kwenye Low Human Development
Human Development Index 2016 - HDI - Nations Online Project
If their government is not corrupt and still have enough energy to implement massive projects, hakuna haja kubwa sana zaidi ya kufanya market liberalization under some restrictions ....Good. Na Kenya imezidi nchi zote kanda hili kwenye HDI.
Kwenye command economy kama ya Ethiopia, ni kweli kuna low levels za unemployment na unequal income diatribution. Lakini ukiangalia uchumi wao na ukicompare na the size of the population....there isnt still enuff cake for equal shareout, that meana bado kuna watu wengi wanaishi katika hali ya uchochole, incomes ziko low na hali duni sana ya maisha na pia social services bado iko chini. Hivyo ni lazma wajifunge mkanda tena sana...
Lakn production in such economies tend to be inefficient, I predict that in the long run theyd have to abandon this form of economic management in favor of the open system, kama tu ya Kenya ama Tz; the same thing the Chinese did in 1992.
Katika ulimwengu wa sasa hatuangalii naked figures katika kulinganisha economies hivyo, the best thing kuonesha ni percentage ratio kati ya walionacho na wasionacho kati ya Kenya na Ethiopia na hii ndiyo itapima peformance kati ya hizi nchi mbili...
service industry kama aviation wapo vizuri kuliko Kenya na ndio maana Ethiopian airways ni kampuni linalojiendesha kwa faida alafu hata waethiopia wametawanyika duniani na hurudisha pesa nyumbani na kuwa msaada mkubwa...
Ethiopia ni moja ya nchi zinazozalisha kahawa kwa wingi na niliona some articles kuwa mahawa yao ni one of the best blend in Africa lakini kahawa haiwezi kuendeleza hali za watu na hapo nimebashiri kuwa wakulima ni wa ndani and what if ni foreigners ?????.....
Nilitoa sekta moja kama mfano tu na Ethiopia imejitahidi so far kwa 40 percent...Service industry huangalii kwenye sector moja tu ya aviation unaifanyia tathmini ya nchi yote, kaka naomba nikuelimishe kwamba sisi ni service driven economy ambapo huduma inachangia 50.7% ya GDP wakati Ethiopia wanachezea kwenye 40%.
Ukiangalia kwenye idadi ya maskini, Ethiopia na Tanzania zina asilimia kubwa zaidi ya Kenya kwa watu wanaoishi chini ya $2 kwa siku.