IMF: Ethiopia's GDP to hit $78B this year, Kenya at $75B

Tayari wako katika harakati ya kushift to the mixed economic system, makampuni mengi ya serikali yanaelekea kuwa privatized. Lakini bado wamekatalia mbali kuallow private sector kwenye sector ya communication, banking......na sijui transportation? For sone reasons they want to be in control of these sectors.

Tayari kuna several private sectors zinanihusisha na manufacturing for example, sana sana makampuni ya Uchina.

Corruption huko iko chini sana, na govt imejitolea kutekeleza miradi mingi ya maendeleo, lakini changamoto yao kuu ni skilled man- power. Hapo sasa ndipo Kenya, pamoja na Tz inawapiga bao.
 

Gharama ya maisha Kenya ipo juu zaidi ya Tanzania na Ethiopia.
 
HDI ya 0.53 na 0.55 siyo tofauti kubwa ya kuweza kusema maisha ya nchi Fulani ni ya hali ya juu kuliko nchi Fulani. They are all at the cut-out. Kenya is at the bottom of the middle class as is Tanzania is at the top of the lower class. So I think these things are just being overblown here. The economies are the same, both three economies. the difference is not life altering.
 
Kenya kuna maskini haijui ata nusu dola inafananaje
 

Achana na wavuti uchwara hizo, muulize MK254 atakwambia.

Kenya food prices among the highest in the world – researcher
May. 26, 2017, 12:45 am
BY AGATHA NGOTHO @AgathaNgotho

Food prices in Kenya are among the highest in the world, a researcher has said.

Dr Timothy Njagi, a researcher from Tegemeo Institute, said maize prices in Kenya are three times higher than the global market price.

“In Kenya, a tonne of maize in the local market is selling at Sh50,000 ($500 ) compared to the global market price of Sh15,000 ($150 ). A tonne of sugar in Kenya is selling at Sh120,000 and Sh40,000 globally,” he said.

According to the Regional Agricultural Trade Intelligence Network by the Eastern Africa Grain Council, a tonne of maize in Kenya is selling at between Sh56,045 and Sh85,068 in the wholesale and retail market, respectively. In Uganda, the same quantity is retailing at between Sh56,761 and Sh51,085. While in Tanzania, traders are selling it at between Sh55,097 and Sh68,871.

Interim head of Sugar Directorate Solomon Odera yesterday said imported sugar is selling at Sh6,300 per 50 kilogramme bag, while local sugar is retailing at between sh6,800 and Sh7,200, for the same quantity.

He said the current food prices are the highest the country has experienced in five year.

“The price of basic commodities such as maize and milk has increased significantly due to drought-related factors. However, the 2011 drought situation was more severe than this year, but the food prices did not escalate this much,” he said.


Agriculture PS Richard Lesiyampe had earlier said that after every five years, the country struggles with extreme weather conditions, which has a huge impact on the food balance sheet.

“The effects of climate change are real and in every four-five years cycle, we have to face an extreme drought. The rising temperature coupled with new crop diseases and pests will to a large extent restrain food production, leading to famine,” he said.

Njagi said the interaction between drought, policy and markets has been the major cause of high commodity prices in Kenya.

“In the next one year, the purchasing power of consumers will be interrupted as the cost of production is expected to remain high, while food productivity will be low,” he said.

Njagi said the country’s food production trend has been declining in the last two years, owing to numerous gaps along the value chain. The 2016-17 production year has been characterised by the prolonged drought, which has led to low food production.

“Wheat dropped by seven per cent to 222,000 metric tonnes, rice by 12 per cent to 102,000 metric tonnes and maize decreased by 14 per cent to 37 million bags. Equally, milk production to processors fell from 560,000 litres to 360,000 litres in the same period,” he said.

Kenya remains largely a net importer of key food – maize, wheat and rice. On average, the country imports more than 50 per cent of its demand for rice and wheat and seven-10 per cent of maize

Kenya food prices among the highest in the world – researcher
 
Gharama ya maisha Kenya ipo juu zaidi ya Tanzania na Ethiopia.

Umetumia kiashiria gani kufikia hiyo hitimisho, maana nyie cost of living index CPI yenu iko higher than that oe Kenya. Mjifunze kujadili mada kitaalam sio yale mnakaririshwa kwenu kuhusu Kenya.
 

Hizi ni shocks ambazo zimeletwa na drought, naomba uangalie uhalisia wa kawaida.
 


In the world! Achanga!

Numbeo sio blog uchwara, ni website inayotumiwa na maexpatriates kucompare the cost of living in different countries, kwanza hawa ndio hucontrobute kwa hiyo blog.

Sasa ni vipi the cost od vyakula Kenya viwe among tge most costly in the world? Siasa nini?

Kabla ya drought, si bei ya unga ilikuwa sh 60 kwa kilo, bei ikapanda hadi sijui 200. Lakini bado sidhani it the costliest in the world, hizo ni porojo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Hizi ni shocks ambazo zimeletwa na drought, naomba uangalie uhalisia wa kawaida.

Bei ya vyakula Tanzania ni nafuu kuliko Kenya, bei ya viwanja vya kujengea nyumba Tanzania ni ndogo kuliko Kenya, bei ya saruji Tanzania ni ndogo kuliko Kenya, gharama ya usafiri Tanzania ni ndogo kuliko Kenya, kodi ya pango Tanzania ni ndogo kuliko Kenya n.k. Wewe unaujua ukweli ila unaleta unazi humu.
 

Why Nairobi is East Africa’s most expensive capital city


Posted on May 22, 2016 by Judy Mwende



Nairobi is the most expensive city in East Africa
 
Kuna tofauti kati ya CPI ya miji mikuu na ya nchi yote, tatizo nyie huangalia Kenya kwa kutumia Nairobi. CPI ya Tanzania iko juu zaidi ya Kenya.
Hehe ....
 
Sasa brother mbona Numbeo wanasema Cost of Living ya TZ ni ndogo kuliko Kenya?
 
Kuna tofauti kati ya CPI ya miji mikuu na ya nchi yote, tatizo nyie huangalia Kenya kwa kutumia Nairobi. CPI ya Tanzania iko juu zaidi ya Kenya.

Hata miji mingine ya Tanzania ni nafuu kuliko miji mingine ya Kenya, ndio ukweli huo.
 
Kuna tofauti kati ya CPI ya miji mikuu na ya nchi yote, tatizo nyie huangalia Kenya kwa kutumia Nairobi. CPI ya Tanzania iko juu zaidi ya Kenya.
Ni miji michache ambayo ina maisha ghali na kadri ya upeo wangu ,dar na arusha ndo zina cost kubwa za maisha halafu kumbuka CPI inahitaji busket of goods ambazo ni essential na huwa consumed na part kubwa ya population kama chakula ambacho kwa Tanzania ni bei rahisi...

Ndio maana huwa nawaonesha ndugu zanguni wakenya kuwa tuna tofauti kubwa sana ya kiuchumi baina yetu ambapo comparisons za kwenye makaratasi zinaweza zisiakisi hali halisi... Kenyans mna large retail business ukilinganisha nasi lakini haimaanishi kuwa mna maisha bora kutokana na ukweli kuwa lifestyles zetu ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…