Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
2022 ni miaka ya nyuma? Si ni awamu hii?Narudia tena kukwambia una shida kichwani,nilishakwambia mapema kwamba huko miaka ya nyuma average growth ilikuwa ni 2% Bado umekaza fuvu.
Mfano kwenye Link niliyoweka imeoneshwa kabisa kwamba 2022 it was 2.7% Bado umekaza fuvu,karibu nakuchoka.
Umejifunza ku post sasa ππ2022 ni miaka ya nyuma? Si ni awamu hii?
Ok, Mimi nakuwekea za karibuni hadi 2021, Sasa 2022 kwa nini ilidrop hiyo nikuulize wewe. Sasa wewe njoo na tofauti na hizi
View attachment 3099875
Wewe huna akili, naamua kuweka kama attachments, au kuinsert kama picha. Hiyo ni uamuzi wanguUmejifunza ku post sasa ππ
Haya leta link ya source sio ku screenshot vidata vya kupika ,weka link
Weka link Wacha blaa blaa za kitoto hapa,kwani kabla ya hapo ulishindwa nini kuweka zikasomeka Hadi nikakukoromea?Wewe huna akili, naamua kuweka kama attachments, au kuinsert kama picha. Hiyo ni uamuzi wangu
Pia wewe kwa nini usiweke ambazo zinapingana na hizo? Wewe si una kazi ya kukusanya links ?? Sasa unashindwa vipi kuja na links zinazopingana na hizo data?
Wewe kuanzia asubuhi mpaka usiku una kazi ya kuweka links humu, unashindwa vipi kuleta links zinazopingana na hizo data? Umeshindwa kazi?Weka link Wacha blaa blaa za kitoto hapa
Nimekuwekea mara nyingi tuu ,umeamua kuja na takwimu uchwara ππWewe kuanzia asubuhi mpaka usiku una kazi ya kuweka links humu, unashindwa vipi kuleta links zinazopingana na hizo data? Umeshindwa kazi?
Hapo ilipaswa wewe ulete data from credible source ili uweze kupinga nilichoweka.
Umeweka mara nyingi wapi? Weka trend ya miaka hata 10 ili tulinganishe, au lengo sio kulinganisha? Unaweka ya mwaka mmoja, Sasa huko za nyuma tutazijuaje?Nimekuwekea mara nyingi tuu ,umeamua kuja na takwimu uchwara ππ
Weka link mbona unajificha kichwa huku mwili uko wazi?
Huna hoja wewe.Nitaendelea kukujibu Kwa vitendo na sio makaratasi .Umeweka mara nyingi wapi? Weka trend ya miaka hata 10 ili tulinganishe, au lengo sio kulinganisha? Unaweka ya mwaka mmoja, Sasa huko za nyuma tutazijuaje?
Pia mtu akiweka kitu flani ambacho sio sahihi au data sio sahihi, unapaswa kuja na ambazo ni sahihi. Wewe ungeweka trend ya 2010-2023, hapo ungekua umemaliza kila kitu hata huu mjadala ungeishia hapo
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.
Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.
Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.ππ
View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19
My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.
View attachment 3097657
Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.
Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.
Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini ππ
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19
Pia soma World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.
Pia soma zaidi hapa WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.
Mkuu hii habari ni furaha baraka kwao ila uzoefu unaonyesha kuwa baraka hii mikononi mwa viongozi wa aina ya Museveni haitachukua muda mrefu kuchina na kuwa laana ya nchi.Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.
Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.
Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.ππ
View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19
My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.
View attachment 3097657
Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.
Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.
Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini ππ
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19
Pia soma World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.
Pia soma zaidi hapa WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.
Mkuu, ukweli ni kwamba kasi yoyote ya uchumi hupimwa kwa kuangalia mambo kadhaa muhimu kwa mfano kasi ya ongezeko la idadi ya watu, sera za kisiasa na kiuchumi za nchi husika, ukomavu na utulivu wa uongozi wa nchi kidemokrasia, mfumo wa ugawanaji wa keki ya taifa kwa usawa, usimamizi wa rasilimali watu na mali asili na aina ya elimu kwa wananchi.Inawezekana uki control population, Kenya wanajitahidi ku control population yao pia.
π€π€π€Hii ni habari mbaya sana kwa Tanzania ambayo ina gas nyingi lakini kutokana na CCM kukosa maono, hakuna lolote la maana. Msumbiji ni miongoni mwa nchi 10 za Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa haraka.
Kwa huo ukuaji wa 11% wa Uganda, ni karibia mara 4 ya ule wa Tanzania. Tanzania itabakia kuwa mtazamaji.
Mkuu tabia ni kama ngozi. Subiri kije chuma almaarufu tinga tinga uone jinsi kitakavyo vuruga, tena tuanze upya.Ingekuwa chama gani ndio Uchami ungekuwa vizuri? Ni kweli vipaombele vya Tanzania chini ya CCM vina ukakasi sana ila walau Kwa Sasa naona Mwanga awamu hii ya 6 Kuna utofauti kwenye sera kiasi Fulani.
CCM Wana ujinga sana wa kuweka watu wasio na akili ilimradi wanakubalika na wajinga wengi.Mkuu tabia ni kama ngozi. Subiri kije chuma almaarufu tinga tinga uone jinsi kitakavyo vuruga, tena tuanze upya.
Mkuu bila kubadili sera yetu ya kisiasa na kiuchumi, kudhibiti ongezeko la watu, kutoa elimu inayoendana na nyakati za sasa, usimamizi mzuri wa rasilimali zetu na kuwa na mgawanyo mzuri wa keki ya Taifa tutaendelea kubaki kwenye cycle hii hii ambayo tumedumu nayo kwa miaka 60!!
Sio kweliMkuu hii habari ni furaha baraka kwao ila uzoefu unaonyesha kuwa baraka hii mikononi mwa viongozi wa aina ya Museveni haitachukua muda mrefu kuchina na kuwa laana ya nchi.
Mkuu wahurumie na kuwaombea waganda!!
Huwa unaupungufu kichwaniIngekuwa chama gani ndio Uchami ungekuwa vizuri? Ni kweli vipaombele vya Tanzania chini ya CCM vina ukakasi sana ila walau Kwa Sasa naona Mwanga awamu hii ya 6 Kuna utofauti kwenye sera kiasi Fulani.
Wewe una upungufu wapi?Huwa unaupungufu kichwani
Kenya Anadaiwa hadi kusikosemekana ,pesa asilimia kubwa analipa madeni,asilimia ndogo tu ni ya kuendesha serikali.My take...π
GDP per capita ndio kitu muhimu
GDP per capita ya Kenya ni kubwa mara mbili ya Ethiopia.