Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Japan ni failed economy kabisa kwani wana debt to gdp ratio zaidi ya 200 percent. Sisi tupo 60 percent na ushaanza kutuita majina.Wanakopa sana na bado fiscal deficit ni kubwa sana, hiyo ndio maana halisiya failed economy.
linganisha na gdp yao sio hilo la deni tuBasi Japan ni failed economy kabisa kwani wana debt to gdp ratio zaidi ya 200 percent. Sisi tupo 60 percent na ushaanza kutuita majina.
Debt to Gdp ratio ya 200 percent inaashiria Japan wamekopa mara mbili ya size ya uchumi wao halafu unakuja hapa kusema eti wapo vizuri kushinda Kenya. Waafrika tuwache kujidharau.linganisha na gdp yao sio hilo la deni tu
Ni kituko uchumi kama wa Kenya kujilinganisha na Japan kwa namna yoyote ile
Japan budget fiscal deficit ni ngapi?, ndio sababu nikasema haiwezikani mnakopa sana, mnakusanya pesa nyingi sana na bado fiscal deficit ikawa kubwa, hizo ni "characteristics za failed Economy"Basi Japan ni failed economy kabisa kwani wana debt to gdp ratio zaidi ya 200 percent. Sisi tupo 60 percent na ushaanza kutuita majina.
Tony254, acha kujidhalilisha wewe ni MTU mwenye uwelewa mkubwa. Chris Kirubu akidaiwa 200%ya uchumi wake sio sawa na wewe ukidaiwa 20% ya uchumi wake, ninadhani unalijua hilo, hiyo ni kutokana na uwezo mkubwa wa kiuchumi alionao wa kuweza kulipa hilo deni kutokana na Investment zake, security alizonazo, na uwezo wake wa kudhaminika. Kenya ni wewe na Japan ni Chris Kirubi.Debt to Gdp ratio ya 200 percent inaashiria Japan wamekopa mara mbili ya size ya uchumi wao halafu unakuja hapa kusema eti wapo vizuri kushinda Kenya. Waafrika tuwache kujidharau.
We jamaa banaDebt to Gdp ratio ya 200 percent inaashiria Japan wamekopa mara mbili ya size ya uchumi wao halafu unakuja hapa kusema eti wapo vizuri kushinda Kenya. Waafrika tuwache kujidharau.
Japan wana 273% GDP ratio lakini mikopo yao ni kutoka katika makampuni ya ndani ya nchi.. si kama kenya.. Japan mikopo yao ni concession unlike you.. yours are Non concessional loansBasi Japan ni failed economy kabisa kwani wana debt to gdp ratio zaidi ya 200 percent. Sisi tupo 60 percent na ushaanza kutuita majina.
We jamaa bana
Japan inajidai yenyewe, yaani hilo deni lote imejikopesha yenyewe kupitia Central Bank yake na domestic financial institutions
Kwa taarifa yako tu, Japan inaidai Marekani zaidi ya dollars trillion 1, hapo bado mataifa mengine ikiwemo Kenya na Tanzania
Ninyi hilo deni lenu karibu lote mnadaiwa nje
Hiyo ndio elimu ya Kenya tunayoambiwa ni Bora ukanda huuHahahaha mwambie labda haijui vizuri Japan maana umeniwahi swali la kuongezea kama wanataka kujilinganisha na Japan sawa , Japan anamdai marekan ingawa anadaiwa je Kenya anamdai nani na kiasi gani ? Patamu hapo hahahahaha