IMF: Kenya kinara kwa kudaiwa zaidi, Tanzania ya mwisho

linganisha na gdp yao sio hilo la deni tu

Ni kituko uchumi kama wa Kenya kujilinganisha na Japan kwa namna yoyote ile
Debt to Gdp ratio ya 200 percent inaashiria Japan wamekopa mara mbili ya size ya uchumi wao halafu unakuja hapa kusema eti wapo vizuri kushinda Kenya. Waafrika tuwache kujidharau.
 
Basi Japan ni failed economy kabisa kwani wana debt to gdp ratio zaidi ya 200 percent. Sisi tupo 60 percent na ushaanza kutuita majina.
Japan budget fiscal deficit ni ngapi?, ndio sababu nikasema haiwezikani mnakopa sana, mnakusanya pesa nyingi sana na bado fiscal deficit ikawa kubwa, hizo ni "characteristics za failed Economy"
 
Debt to Gdp ratio ya 200 percent inaashiria Japan wamekopa mara mbili ya size ya uchumi wao halafu unakuja hapa kusema eti wapo vizuri kushinda Kenya. Waafrika tuwache kujidharau.
Tony254, acha kujidhalilisha wewe ni MTU mwenye uwelewa mkubwa. Chris Kirubu akidaiwa 200%ya uchumi wake sio sawa na wewe ukidaiwa 20% ya uchumi wake, ninadhani unalijua hilo, hiyo ni kutokana na uwezo mkubwa wa kiuchumi alionao wa kuweza kulipa hilo deni kutokana na Investment zake, security alizonazo, na uwezo wake wa kudhaminika. Kenya ni wewe na Japan ni Chris Kirubi.
 
Debt to Gdp ratio ya 200 percent inaashiria Japan wamekopa mara mbili ya size ya uchumi wao halafu unakuja hapa kusema eti wapo vizuri kushinda Kenya. Waafrika tuwache kujidharau.
We jamaa bana
Japan inajidai yenyewe, yaani hilo deni lote imejikopesha yenyewe kupitia Central Bank yake na domestic financial institutions

Kwa taarifa yako tu, Japan inaidai Marekani zaidi ya dollars trillion 1, hapo bado mataifa mengine ikiwemo Kenya na Tanzania

Ninyi hilo deni lenu karibu lote mnadaiwa nje
 
Basi Japan ni failed economy kabisa kwani wana debt to gdp ratio zaidi ya 200 percent. Sisi tupo 60 percent na ushaanza kutuita majina.
Japan wana 273% GDP ratio lakini mikopo yao ni kutoka katika makampuni ya ndani ya nchi.. si kama kenya.. Japan mikopo yao ni concession unlike you.. yours are Non concessional loans
 
Hahahaha mwambie labda haijui vizuri Japan maana umeniwahi swali la kuongezea kama wanataka kujilinganisha na Japan sawa , Japan anamdai marekan ingawa anadaiwa je Kenya anamdai nani na kiasi gani ? Patamu hapo hahahahaha
 
Hiyo ndio elimu ya Kenya tunayoambiwa ni Bora ukanda huu

Nipo nao kwenye hili jukwaa, ni kati ya watu wenye uelewa finyu sana niliowahi kukutana nao so far.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…