Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Hiyo ndio elimu ya Kenya tunayoambiwa ni Bora ukanda huu
Nipo nao kwenye hili jukwaa, ni kati ya watu wenye uelewa finyu sana niliowahi kukutana nao so far.
Naona mmewakakia kooni hawa jirani zetu hats hawapumui
A loan is a loan! Akudai baba/bibi/dada au benki its still an effing loan!!!Japan wana 273% GDP ratio lakini mikopo yao ni kutoka katika makampuni ya ndani ya nchi.. si kama kenya.. Japan mikopo yao ni concession unlike you.. yours are Non concessional loans
Mkopo anaodaiwa na makampuni yako ya ndani inammnisha hizo ni pesa ambazo hata ukilipa zinabaki ndani ya nchi yako... so ww haupungukiwi kitu km serikali... kwa sabbu hizo pesa zitarud kea raia wakoA loan is a loan! Akudai baba/bibi/dada au benki its still an effing loan!!!
Kweli kabisa bro Sasa hebu apply hio kwa Tanzania afu ulinganishe na Kenya uone Kama sio sawa na kulinganishwa Kirubi na wewe. Unajigunga kwa maneno yako mwenyewe πππTony254, acha kujidhalilisha wewe ni MTU mwenye uwelewa mkubwa. Chris Kirubu akidaiwa 200%ya uchumi wake sio sawa na wewe ukidaiwa 20% ya uchumi wake, ninadhani unalijua hilo, hiyo ni kutokana na uwezo mkubwa wa kiuchumi alionao wa kuweza kulipa hilo deni kutokana na Investment zake, security alizonazo, na uwezo wake wa kudhaminika. Kenya ni wewe na Japan ni Chris Kirubi.
IMF: Kenya grows at 5.6%, Tanzania grows at 3.9%
Basi hata Tanzania tuko vizuri maana deni hilo 53 Trilioni zimo na hela za mifuko ya jamii humo nyingi tu.K
Mkopo anaodaiwa na makampuni yako ya ndani inammnisha hizo ni pesa ambazo hata ukilipa zinabaki ndani ya nchi yako... so ww haupungukiwi kitu km serikali... kwa sabbu hizo pesa zitarud kea raia wako
Ni tr 14 ndo za ndani... ila sisi tumeyadhoofisha sana mashirika ambayo tumekopa kwao..Basi hata Tanzania tuko vizuri maana deni hilo 53 Trilioni zimo na hela za mifuko ya jamii humo nyingi tu.