Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Jipe..moyo itakuwa decade...69.71bn$ ikimea at 6.5% = 74.24bn$
Ilhali hyo yao 46bn$ ikigrow at 7% NOT 8% = 49.22bn$
Bado Hii decade itatuwacha mbele!!!.....
Sasa wewe ni nani tena????Jipe..moyo itakuwa decade...
Labda wa tz tukiwa tumelala ndio itakuwa decade
46.72bn$ according to IMFwhats the economy of Tz anyway as of the end of 2015
Itakuchukua muda kuelewa what magufuli is intending to do,
Infact hali hii huenda itadumu kwa hata two more years but people will realize what was the use of it.
Go JPM.
Actually stadium isn't even a part of 21 trading deals $2bn worth between the two countries.Magufuli is just another noisy african leader.....not any different from all the others before...I listened to him beg for a stadium for a country without a cancer hospital.....
Mkuu..uchumi unapanda..acha kukariri hiyo 44bn$ itapanda...zaidi ya hapo mkuuSasa wewe ni nani tena????
Fanya hesabu Ya Kenya Na TZ in the next 11yrs pea TZ 7% pea Kenya 6% by 2030 we will still be agead of TZ with a 44bn$ gap in our GDPS
Eti..Magufuli is one of noisy african leader...unajua unanichekesha sana...hivi unajua kwamba magufuli ame kuwa nominated by Forbes magazine kwenye ku contest Africa person of the year?... ila mbona hatuja msikia presidaa wenu kawa nominated? sasa noisy leader atakuwa nominated kivipi mkuu...siku nyingine uache kuongea mapovu..na usikurupukeMagufuli is just another noisy african leader.....not any different from all the others before...I listened to him beg for a stadium from the Moroccan King,,,, for a country without a cancer hospital.....
Please!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti 2bn$ morrocco is just another african country .....hata the richest cointry in africa isnt investing that much in another african country ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnatumalizaActually stadium isn't even a part of 21 trading deals $2bn worth between the two countries.
Halafu usirudie tena kusema Tz hakuna hospitali ya cancer,
Tanzania kuna taasisi kubwa ya cancer ambapo hata ndugu zako wakenya wamekuwa wakimiminika kuja tz kupata radiotherapy.
www.thecitizen.co.tz/News/Cancer-patients-cross-into-TZ-for-treatment/1840340-3164016-f6yw96/index.html
Umeelewa hata ninachosema??Mkuu..uchumi unapanda..acha kukariri hiyo 44bn$ itapanda...zaidi ya hapo mkuu
Nimeelewa vizuri mkuu..kadiri siku zinavozidi kwenda tunazidi kupunguza gap maana haiwezi kubaki bapo 7 constant lazima ipande na mapointUmeelewa hata ninachosema??
Nasema Gap btwn our GDPS
sai Ke iko 69.17bn$ TZ IKO 46.72bn$ View attachment 424484
By 2030 hyo gap itakuwa double!! If you grow at 7% and kenya at 6%
Okay!![emoji23][emoji23] if that makes you sleep well at night1Nimeelewa vizuri mkuu..kadiri siku zinavozidi kwenda tunazidi kupunguza gap maana haiwezi kubaki bapo 7 constant lazima ipande na mapoint
Yeah..tena inanifanya niote kabisaaOkay!![emoji23][emoji23] if that makes you sleep well at night1