IMF: Serikali za Afrika ziache kuchukua Mikopo kwa dhamana ya Rasilimali za Nchi

Tanzania hatuko kwenye kundi Hilo,hapo walengwa ni DRC,Zambia na wengineo.

Hata hivyo naona Bora wachukue hiyo mikopo Kwa niaba ya rasilimali ikiwa itasaidia kujenga miundombinu kuliko hamna uwezo na Mali iko chini.

Africa hii Mali haiwezi kuisha hata siku Moja.
 
Kuna watu hawaoni madhara yake.
 

Madelu sidhani kama ataelewa.
 
Katika mambo yanayosikitisha sana ni pamoja na hilo,ni mtu mwenye ufahamu wa ajabu tu anayeweza kuweka Rasilimali ili kupewa mikopo,ni vile wafanyao hayo hawana chembe ya uzalendo kwa nchi zao hakika
 
Kwani kwa akili yako hayo maji ya ziwa Victoria huyaoni mpaka useme mikopo tunaitumia vibaya
 
Hivi sisi tukimkisea nini Mungu maana huko juu yanayokaa ni laana tupu
 
Tatizo siyo kukopa kwa maliasili bali usiri unao ambatana na ubadhirifu katika hiyo mikataba ya mikopo.
 
Imf wamekuja kufanya mikutano Africa kwa sababu ya tishio la BRICS, mikopo yao haina tofauti na mikopo ya kausha damu. Kwa muda mrefu Sera zao za mikopo wao na world bank zimelalamikiwa lakini walikuwa kimya Ila kwa sababu Kuna mfumo unakuja kuwachallenge ndio wanajifanya wanaionea huruma Africa.
 
@idleo na Wachina wenzake hawataipenda hii
 
tanzania its even worse mikopo inachukuliwa na watu binafsi wahindi na waarabu lkn mlipaji ni serikali, kwa hali ya kawaida hawa akina dewji, rostamu& co wasingekopesheka popote pale lkn serikali yetu inawadhamini mwisho wa siku mlipaji ni sisi ndio maana rostamu ziara zote na raisi bega kwa bega, rostamu kachukuwa mkopo mdhamini serikali yetu kajenga kiwanda Kenya, ajira zimeenda Kenya fedha za kwetu, pure evil…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…