CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.
Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.
Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.
Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.