IMF waipongeza Tanzania kwa Uchumi wake kuhimili deni kwa 47% wakati Kenya wao ni 70 Rwanda ni 71

Hongera sana mama Samia
 
Hiyo ni habari mbaya. Sisi tunataka kusikia habari zinazosema TZ na rais wake wanafanya vibaya ili tupate cha kuongea. IMF wamehongwa na maza.
 
Tatizo ni uchawa katika haya mambo ambayo yangepaswa kuwa ya kitaalamu yanakuwa ya kisiasa ndio maana hayaaminiki.
 
Namkubali sana Kafulila Jana pale UTV nimemeza sana madini
 
Hongera sana Mama Samia
 
Kama wenzetu wanakopa na Wanaendelea zaidi kwanini na sisi tusikope zaidi?
 
Hongera sana Waziri wa fedha
 
Leo mmenifungua macho kumbe sisi ni wa kutolewa mfano Africa
 

Hamfahamu mnachokiongea 🤮
 
Asante Kafulila kwa kuja na hii🤛🏿
 
Ndio maana huwa nasema Samia apewe mitano mingine tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…