IMF waipongeza Tanzania kwa Uchumi wake kuhimili deni kwa 47% wakati Kenya wao ni 70 Rwanda ni 71

Sawa
 
Sawa
 
Kafulila atafika mbali sana
 
Ni kweli we are better than hao tuliowataja

But we can do better than that

Tusiwe na aim ya chini, we should aim higher…. Where is mali? Botswana?
Comment yako ni nzuri sana
 
Hongera sana Mama SAMIA
 
Hii ni nzuri sana
 
Hongera sana Mama Samia
 
47% mbona bado tuko njema sana, kukopa na kujenga sio dhambi mbaya kukopa ili kuhonga mademu maV8
 
Hii ni nzuri sana
 
Hongera Tanzània ya SAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…