#COVID19 IMF yaidhinisha mkopo wa Tsh Trilioni 1.2 kwa ajili ya Corona Tanzania


Kwani johnthebaptist na ile tathmini ya madeni za Luanda huu na ugonjwa wa Corona viz a viz sisi:

https://www.jamiiforums.com/threads...lote-hadi-sasa.1897513/ hivi sasa anasema je?

Au ilikuwa ni ule uvuvuzela tu kama wa akina Jumbe Brown na kina zandrano?

Inapendeza kuwaona wale wale waliokuwa wamewazodoa waliokuwa kule wako hapa leo wakishangilia.



Hizo ndiyo zile nyumbu zenyewe sasa.
 
Kukopa muhimu ila mkopo huu karibu Tilioni 1 plus ni WA masharti nafuu na unalenga kukuza uchumi.

Pili utaleta nafuu unadhani kukibana mkanda ni mchezo mkuu.Binafsi nimefurahia Cha msingi tuu tuuelekeze kwenye sekta zalishi
Mkuu unaangalia masharti ama Riba?????
Sharti lililolegezwa hapo ni ushoga lkn hapo hapo ukalazimishiwa chanjo...
 
Mkuu unaangalia masharti ama Riba?????
Sharti lililolegezwa hapo ni ushoga lkn hapo hapo ukalazimishiwa chanjo...
Sasa wewe chanjo imekupa shida gani? Sharti ni kuthibitisha ulivyoathirika na covid na hatua ulizochukua ndio hapo unaona cases lazima uzirekodi plus vifo.

Bahati nzuri hiyo unayodai kulazimishiwa chanjo sio ya kununua ni bure.

Kwanza tumechelewa Sana Kenya,Rwanda na Uganda nk wameshachukua hizo pesa mara mbili mbili.
 
Tzn kuna sehemu zenye uhitaji mkubwa na za maana kuliko hizo habari za huko kwenu Chanika.

Hii ndio shida ya watu kuzaliwa na kukulia Dar.

Kwanza nani kakwambia hiyo ni pesa nyingi?
Miradi mingine ni midogo midogo. Inaweza kujengwa na fedha za ndani.
By the way, sijazaliwa wala kukulia Dar. Nimezaliwa Makiungu Singida. Nimeishi sehemu mbali mbali za nchi hii baada ya hapo.
 
Hizo Tozo za madilu zinaenda wapi??
Kama kila mwizi msaada na mikopo.
Hunaweza kuta hata mishahara ya wafanya kazi tunakopa.
Hii ni Anguko kubwa kwa taifa.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndugu TOZO zinapelekwa kupunguza madeni, kuhusu shule kujengwa kupitia TOZO zetu ni changamacho tu.. hawa ni waizi hawafai.
Wameitaka chanjo sasa inatuchanja kupitia TOZO.
 
Hata sisi wana nchi tunaitengenezea mazingira serikal yetu ikope..

Maana tukiambiwa tuchangie maendeleo yetu through kodi mbali mbali watu tuna pinga na kubeza as if hayo maendelo tutaletewa naa wajomba zetu ....wapo watakaosema mbona kodi tunalipa kodi tunachangia yes lkn vyanzo vyingi sio vya uhakika
Bado tunasafari ndefu ya kuijenga nchi ...
 
Hakuna nchi inaenda bila mikopo ,never.

Ni vile you no nothing about economics but tatizo kubwa la Africa ni mtaji .
 
Wenye akili wamemsoma anapenda nn wamempa royal tour wao na wanafanya yao huku
 
Hii mikopo hii☹️..Wajukuu zetu watakuja kutemea mate makaburi yetu
 
Hakuna nchi inaenda bila mikopo ,never.

Ni vile you no nothing about economics but tatizo kubwa la Africa ni mtaji .
Zero kabisa, ivi ume elewa nilichokiandika ? Ndugu usipende ku judge kwa mtu usiyemfahamu acha ukanjanja wa kimtandaoni

Hoja yangu ni kuhimiza wanqnchi pia wachangie kodi mbali ambazo zinalenga kuleta chachu ya mmaendeleo nchi
Dunia nzima hakuna nchi ambayo yenyewe ni kukopa tu hata wananchi wake hawachangii kodi
 
Sina shida na kukopa. Nisichopenda ni pale serikali inapokanusha vikali kuwa kuna tatizo fulani hadi kukamata watu wanaotoa taarifa husika halafu baadae mazingira yakibadilika kukubali tatizo lipo na ni kubwa kama hili linalostahili kuombea mkopo mkubwa hivi.

Nachukia sana jinsi Serikali imekuwa inatudharau sana na kutuendesha sisi wenye nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…