IMF Yaipa Rwanda Dola Milioni 111.06 zaidi ili kupambana na COVID-19

Sasa tujitasimini nini?mambo ya nchi nyingine sisi yanatuhusu nini?kila mtu ana mambo yake,makusanyo ya Rwanda na Tanzania unadhani viko sawa? Yani wabongo bana,sijui mlirogwaga na nani
Achana nalo hilo.
Mwenzio hapo anafikiri amemuongezea Lisu kura za urais
 
Yes hiyo ya Rwanda ni mkopo na sio grants, milango ya kukopa ilifunguliwa kwa anayetaka kukopa, sisi hatujataka kukopa, tumeomba kusamehewa madeni na tumesamehewa!.
P
Paskali,
Hata kama masikio yako yanasubiri teuzi, jaribu kuwa mkweli. Barua ya Mpango ya IMF hiko na inasambaa kwenye mitandao. Kumbuka ukiwaandikia IMF kuomba msaada , hiyo barua inakuwa public information.
 
Paskali,
, jaribu kuwa mkweli. Barua ya Mpango ya IMF hiko na inasambaa kwenye mitandao. Kumbuka ukiwaandikia IMF kuomba msaada , hiyo barua inakuwa public information.
Kiswahili kigumu!.
IMF na WB wamefungua milango kukopa kwa anayetaka.

Tanzania tukawaomba, badala ya kuendelea kutukopesha, watusamehe madeni. Sisi
hatujaomba kukopa, tumeomba kusamehewa madeni, Rwanda kaomba kukopa kapata mkopo!, how can you compare?!.

P
 
Unasahau kuwa hata bila mkopo wa Corona, bado deni la taifa linapaa! Hapo Magufuli katutoaje? Think!
 
Hii nchi imefeli kila sehemu, ila wenye akili za kuambiwa wanashadadia hata wasiyoyaelewa!
 
Chochote kile tunachozalisha tukitaka kuuza soko hadi watupe wao sasa tutajikomboa vipi.
 
Wkt yeye mwenyewe Magu aliomba mkopo wa $190mil huko kwa mabeberu kwa ajili ya hizi mambo za Covid na tukanyimwa,hio nia thabiti ni ipi?
Hiyo pesa uliyoitaja $190M Tz ndio wanayodai kuitumia ktk hili janga la Covid19 japo IMF wana mashaka nao.
Hazina wameomba $275M huku wakidai kusamehewa baadhi ya madeni kutokana na Covod19
 
Anatutoaje wakati anakopa hadi kwenye taasisi za fedha za kibiashara zenye riba kubwa?

Anatutoaje? Huu mkopo wa IMF tumeomba tumenyimwa ila jana waziri wa fedha kasema bado wako kwenye mazungumzo labda tunaweza kuonewa huruma tukapewa.
 
Ukifika ufipa pale.nyuma ya ile nyumba kuna store.hiyo store ndo akili za manyumbu wote wa ufipa zinapohifadhiwa.
Wanafanya mambo yao ya kimaisha ila akili zao zipo store.
 
Huu uteuzi utawavua nguo sana mwaka huu

Tuliomba dollar Millioni 198 kupitia dirisha la Rapid Credit Facility tukanyimwa, ilikua March. Na hata waziri wa fedha jana amesema bado kuna matumaini IMF watatupatia mkopo kupitia Rapid Credit Facility.

Hii tuliyosamehewa iko kwenye Catastrophe Containment Relief Trust ambayo hata Rwanda imesamehewa.sio Tanzania tu waliosamehewa madeni chini ya dirisha la CCRT.

Hii ya kusema hatujawahi kuomba kukopa ni kuandika uongo.
 
Hiyo pesa uliyoitaja $190M Tz ndio wanayodai kuitumia ktk hili janga la Covid19 japo IMF wana mashaka nao.
Hazina wameomba $275M huku wakidai kusamehewa baadhi ya madeni kutokana na Covod19
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 


Paskali anasubiri teuzi kwa nguvu zote...
 
Yeye mwenyewe anakopa tena mikopo ya kibiashara.
 
Hizo walizopewa Rwanda ni mkopo au Msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…