witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
Habari wana Jukwaa!
Anahitajika Mwalimu wa English katika Shule ya DECENT SCHOOL . Shule ipo Mwenge karibu na ITV. Mwenye uhitaji fika DECENT SCHOOL -Mwenge ukiwa na CV+Cover letter.
Mwalimu ni lazima awe na uwezo wa kufundisha O-LEVEL & A-LEVEL (A bachelor degree of education is mandatory with two teaching subjects (English + any subject) .
For any enquiry please don't hesitate call this NO.0717-439726.
Deadline: 21/01/2021.