Habari vijana wa JF,
DEMTATUZI ENTERPRISES L.T.D inawatangazia vijana wa kitanzania kazi ya kusimamia vituo vya mafuta ya kula
Requirements
The candidates are required to hold a certificate of accounts, business administration and others suiting selling management from the reputable institutions. Experience of one year is mandatory required
Pia Kampuni inahitaji vijana wawili (2) wa stationery wenye uzoefu walau wa mwaka mmoja.
Mawasiliano: 0783-075191/0687966988
MWENGE ITV, DAR ES SALAAM