Ernesto Che Guevara
Member
- Jan 7, 2013
- 25
- 27
Kama ni kweli hakuna mtu aliye juu ya sheria inakuwaje Rais akawa na kizuizi cha kushtakiwa anapokuwa Madarakani.....? maana wizi ni kosa la jina ambapo aliyesaidia kitendo cha wizi au kumlinda na kumficha miwzi wote ni wahalifu.. Maoni wajumbe