Impeachment imemfanya Gachagua kuwa Maarufu mara dufu!

Inadaiwa hakuna mtu alikuwa anamjua au kufuatilia Siasa za Gachagua hapa Africa Mashariki

Lakini zoezi la impeachment limefanya Rigathi Gachagua afahamike Dunia nzima

Kwa sasa Gachagua Ndiye Mwanasiasa anayeongoza kwa umaarufu nchini kwake

Sabato Njema 😄
Atapona au ataliwa ? Huko mbeleni ...? Akirudi kugombea urais atafanikiwa au ndio natural death....
 
ni katiba yao mbovu ambayo wameitunga wao wenyewe na hivi sasa kwenye utekelezaji wao wenyewe wanaiona mbaya, ndilo hasa jambo ambalo limewavutia Africa Mashariki kufuatilia kinachoendelea Kenya ...

Gachagua anajulikana county ya Nyeri tu, na kwa sehemu kidogo sana maeneo machache mount Kenya...

hata hivyo,
tuhuma zinazomkabili ni nzito mno na matokeo yake ndicho hasa kinachosubiriwa kwa hamu na gamu.🐒
 
Akiwa impeached ndio bas tena katika kujihusisha na siasa..

But pia akiwa impeached Lazima atakamatwa mara moja na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizosabababisha kubanduliwa kwake...

Nadhani atajiuzulu na kisha kukimbilia uhamishoni 🐒
 
Anaongoza kwa kung'olewa sio?🤣
 
Akiwa impeached ndio bas tena katika kujihusisha na siasa..

But pia akiwa impeached Lazima atakamatwa mara moja na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizosabababisha kubanduliwa kwake...

Nadhani atajiuzulu na kisha kukimbilia uhamishoni 🐒
Amekimbilia mahakamani
 
ni katiba yao mbovu ambayo wameitunga wao wenyewe na hivi sasa kwenye utekelezaji wao wenyewe wanaiona mbaya, ndilo hasa jambo ambalo limewavutia Africa Mashariki kufuatilia kinachoendelea Kenya ...

Gachagua anajulikana county ya Nyeri tu, na kwa sehemu kidogo sana maeneo machache mount Kenya...

hata hivyo,
tuhuma zinazomkabili ni nzito mno na matokeo yake ndicho hasa kinachosubiriwa kwa hamu na gamu.🐒
Shikamoo Raila Odinga 😂😂😂

ADANI
 
Inadaiwa hakuna mtu alikuwa anamjua au kufuatilia Siasa za Gachagua hapa Africa Mashariki

Lakini zoezi la impeachment limefanya Rigathi Gachagua afahamike Dunia nzima

Kwa sasa Gachagua Ndiye Mwanasiasa anayeongoza kwa umaarufu nchini kwake

Sabato Njema 😄
Kama CCM ilivyompandisha ndugu yetu Mwakubusi. Hakuna aliyekua anamfahama Ila CCM walimuweka ndani na watu maarufu, walipoona umaarufu wake unapungua, wakamuwekea pingamizi. Sasa hivi Ni rais wa TLS.
SASA hivi anasubiri kuchukua fomu ili achukue Jimbo la Mbeya mjini mwakani kiulaiiini.
 
BAK Mwabukusi atagombea kule kwao Busokelo kwa yule Mbobezi wa Sayansi duniani Prof Mark aka Mzee wa Kyoto 😂😂
 
ni katiba yao mbovu ambayo wameitunga wao wenyewe na hivi sasa kwenye utekelezaji wao wenyewe wanaiona mbaya, ndilo hasa jambo ambalo limewavutia Africa Mashariki kufuatilia kinachoendelea Kenya ...

Gachagua anajulikana county ya Nyeri tu, na kwa sehemu kidogo sana maeneo machache mount Kenya...

hata hivyo,
tuhuma zinazomkabili ni nzito mno na matokeo yake ndicho hasa kinachosubiriwa kwa hamu na gamu.🐒
Wangekuwa na katiba mbovu sidhani hata kama wangekuwa na uwezo wa kushtaki viongozi, kabla ya katiba hii ya sasa walikuwa na katiba iliyofanana na yetu, wakabadili kipindi cha kibaki
 
Inadaiwa hakuna mtu alikuwa anamjua au kufuatilia Siasa za Gachagua hapa Africa Mashariki

Lakini zoezi la impeachment limefanya Rigathi Gachagua afahamike Dunia nzima

Kwa sasa Gachagua Ndiye Mwanasiasa anayeongoza kwa umaarufu nchini kwake

Sabato Njema 😄
Zakayo ni tapeli, anaandaa mpango muswada upelekwe bungeni ili kuongeza muda wa term ya urais kutoka 5 iwe 7. nachelea huku wanaweza kucopy na kupaste.
 
Wangekuwa na katiba mbovu sidhani hata kama wangekuwa na uwezo wa kushtaki viongozi, kabla ya katiba hii ya sasa walikuwa na katiba iliyofanana na yetu, wakabadili kipindi cha kibaki
sasa kama ni nzuri iweje wanapambana nayo tena 🤣
 
Back
Top Bottom