Impeachment imemfanya Gachagua kuwa Maarufu mara dufu!

Atapona au ataliwa ? Huko mbeleni ...? Akirudi kugombea urais atafanikiwa au ndio natural death....
 
ni katiba yao mbovu ambayo wameitunga wao wenyewe na hivi sasa kwenye utekelezaji wao wenyewe wanaiona mbaya, ndilo hasa jambo ambalo limewavutia Africa Mashariki kufuatilia kinachoendelea Kenya ...

Gachagua anajulikana county ya Nyeri tu, na kwa sehemu kidogo sana maeneo machache mount Kenya...

hata hivyo,
tuhuma zinazomkabili ni nzito mno na matokeo yake ndicho hasa kinachosubiriwa kwa hamu na gamu.πŸ’
 
Atapona au ataliwa ? Huko mbeleni ...? Akirudi kugombea urais atafanikiwa au ndio natural death....
Akiwa impeached ndio bas tena katika kujihusisha na siasa..

But pia akiwa impeached Lazima atakamatwa mara moja na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizosabababisha kubanduliwa kwake...

Nadhani atajiuzulu na kisha kukimbilia uhamishoni πŸ’
 
Anaongoza kwa kung'olewa sio?🀣
 
Akiwa impeached ndio bas tena katika kujihusisha na siasa..

But pia akiwa impeached Lazima atakamatwa mara moja na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizosabababisha kubanduliwa kwake...

Nadhani atajiuzulu na kisha kukimbilia uhamishoni πŸ’
Amekimbilia mahakamani
 
Shikamoo Raila Odinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ADANI
 
Kama CCM ilivyompandisha ndugu yetu Mwakubusi. Hakuna aliyekua anamfahama Ila CCM walimuweka ndani na watu maarufu, walipoona umaarufu wake unapungua, wakamuwekea pingamizi. Sasa hivi Ni rais wa TLS.
SASA hivi anasubiri kuchukua fomu ili achukue Jimbo la Mbeya mjini mwakani kiulaiiini.
 
BAK Mwabukusi atagombea kule kwao Busokelo kwa yule Mbobezi wa Sayansi duniani Prof Mark aka Mzee wa Kyoto πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wangekuwa na katiba mbovu sidhani hata kama wangekuwa na uwezo wa kushtaki viongozi, kabla ya katiba hii ya sasa walikuwa na katiba iliyofanana na yetu, wakabadili kipindi cha kibaki
 
Zakayo ni tapeli, anaandaa mpango muswada upelekwe bungeni ili kuongeza muda wa term ya urais kutoka 5 iwe 7. nachelea huku wanaweza kucopy na kupaste.
 
Wangekuwa na katiba mbovu sidhani hata kama wangekuwa na uwezo wa kushtaki viongozi, kabla ya katiba hii ya sasa walikuwa na katiba iliyofanana na yetu, wakabadili kipindi cha kibaki
sasa kama ni nzuri iweje wanapambana nayo tena 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…