MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 23
From the practical pint of view: Unapo import bidhaa kutoka nje kuna kodi aina mbili (kubwa)
1. Import duty - hii tutozwa kati ya kiwango cha 0% hadi 25% - 0% kwa bidhaa ambazo ni like agricultural inputs machines, computers & its accessories na all capita inputs! 5% kwa semi manufactured goods eg vipuri vya magari na 25% kwa bidhaa kamili eg nguo, magari etc.
2. VAT - huchajiwa at rate of 20% on gross cost i.e incl exercise duty + import duty isipokuwa kwenye capital goods
3. Exercise duty nayo huchajiwa kati ya 0% hadi 20%!
Need we say more!
Cheers

Mkuu Heshima mbele
Hizo ulizoandika ni kuonyesha Tanzania inafuata Sheria wew peleka mzigo wako uone
Kuna kitu kinaitwa LAKINIHiyo ndio inaumiza watu utaona document inapotea, Verifier atakutishia ku uplift, kukucheleweshea document zako makusudi TICS
In fact bado hatu ready kuendelea kuna vitu ni kwa maendeleo ya nchi kuna watu wanajiweka katikati kwa manufaa yao WIzi mtupu !
Mkuu heshima mbele JF kila siku tutaendelea kuwa makini. kila kitu kipo Ok ila nafikiri vidole vinamfupa kwenye keyboard hiyo katika tax terminologies inaitwa " EXCISE" - Customs clearance tax before paying VAT