Elections 2010 Important: Ilani za Vyama, CCM, CHADEMA na CUF

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Hizi ni ilani za uchaguzi za vyama vitatu vikuu vya siasa hapa nchini, CCM, CHADEMA and CUF.

Wataalam wa uchambuzi, naombeni m-compare and contrast.

Attachments zinafuata.
 
Attachments

ziko wapi na kama huna wacha niziweke hapa maana naona unahangaika;; wakuu hizi hapa za CHADEMA na Chama Cha Mafisadi kazi kwenu
 
ziko wapi na kama huna wacha niziweke hapa maana naona unahangaika;; wakuu hizi hapa za CHADEMA na Chama Cha Mafisadi kazi kwenu
.
son of peasant, asante kunibandika hapa hizo Ilani, ila hukuitendea haki ilani ya CCM kwa kuiita ilani ya chama cha mafisadi. Tunapozungumzia ilani za vyama, ni ilani za vyama.
 
ziko wapi na kama huna wacha niziweke hapa maana naona unahangaika;; wakuu hizi hapa za CHADEMA na Chama Cha Mafisadi kazi kwenu
ya CUF ipo wapi nina taka pia kuisoma kama kuna mtu anayo tafadhali niwekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…