Important

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
Akili Ya Kuambiwa Changanya Na Yako THEN Weka Unachokiona LIVE ....(you will get a good answer)

Hao Wanaokushawishi Ni Watu Kama Wewe Na Wana Mapungufu Kama Wewe Kwa Sababu Hakuna Aliyekamilika For 100%.

Hivyo Chamsingi READ THAT PROPOSED CONSTITUTION, UNDERSTAND IT & MAKE YOUR OWN DECISION.

Iwe Ya NDIYO au HAPANA ....maamuzi ni yako!!!

Tusiyumbishwe!
 
Kuna watu wanapenda kila kitu waseme na wanachosema wengine wafuate. Hekima ni msingi wa maamuzi mazur siku zote. Kila upatapo jambo ni vema kulielewa then wewe ndiyo mwamuzi wa jambo hilo. Vivyo hivyo kwenye hali tuliyonayo sasa ya suala la Katiba nchini, NEC wameahirisha tarehe ya kura kwa Watanzania sasa hiyo ndiyo fursa ya muhimu kisoma hiyo Katiba Inayopendekezwa ili hao NEC watakapotangaza tarehe ya kupiga kura haijalishi ni lini na kipindi kipi, kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake awe tayari kupiga kura hiyo kwa busara na hekima yate kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Kweli kabisa
 
Kuna watu wanatuona kama misukule ,, yaaani wasome wao wakatae wao na watuamrishe nasisi tufanye kama wao.... noooo tuna akili AKILI ZA KUAMBIWA UNACHANGANYA NA............
 
We mtoa post vip na wasiojua kusoma wafanyeje . Usifkirie katiba ni kama kitabu cba story za juma na uledi kila mtu anaweza kusoma na kuelewa lazima kuna watu ambao unatakiwa watusaidie ili tuielewe...huo msemo wako haauna ukweli wwote
 
Wasiojua kusoma kaka au dada wajitahidi kusikiliza vipindi vya elimu kwa umma kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
 
We mtoa post vip na wasiojua kusoma wafanyeje . Usifkirie katiba ni kama kitabu cba story za juma na uledi kila mtu anaweza kusoma na kuelewa lazima kuna watu ambao unatakiwa watusaidie ili tuielewe...huo msemo wako haauna ukweli wwote
Ndugu lakiwosha au elfuwosha jitahidi na wenzako msiojua kusoma msikilize redia, mwangalie tv na kuhudhuria mikutano wanakofundisha masuala ya Katiba Inayopendekezwa. Kwa kufanya hivyo mtaweza kwenda sawa na wale wanaosoma na kuelewa.:scared:
 
ngja nikuitie huyu
cc GWAJIMA
Nawe Makenze umetokea wapi. Nini mchango wako katika JF. Unaanza kutishia watu na Gwajima mwishowe utasema tukuitie Pengo, mwishowe utasema tukuitie mkeo kama unaye!
 
We mtoa post vip na wasiojua kusoma wafanyeje . Usifkirie katiba ni kama kitabu cba story za juma na uledi kila mtu anaweza kusoma na kuelewa lazima kuna watu ambao unatakiwa watusaidie ili tuielewe...huo msemo wako haauna ukweli wwote

Wasiojua kusoma kuna vipi vya radio vya elimu kwa umma...anachosema laizer ni kwamba kuna watu wanaenda kueleza watu vitu vya uongo...mtu anaenda kusema kitu flan hakipo wakat kipo tena kimeelezwa vizuri....mwingine anasema mfumo mzuri wa utoaji haki haujaelezwa ndani ya katiba wakati ukisoma ibara 65 imeeleza vizuri tuu....halaf unawaambia watu waikatae....nani atakuelewa.....go for concrete examples sio kupotosha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…