ras nagashima
Member
- Nov 29, 2014
- 68
- 9
- Thread starter
-
- #21
Mkuu chacha 5.5M Tzs
Mangi aina gani unataka maana zipo nyingi na size pia nijulishe
Kimbwe delela nauza jumla 85000 Tzs, unahitaji pieces ngapi?
Mkuu Bluetooth jumla 85000tsz n Reja 90000tsz
Ningekutembeleeni hapo officen kwenu Tandika,lakini sitajaribu maana niliwahi kupigwa mtama mwaka 2010 dahhhh,yani siwezi sahau mpaka Kiyama,maana nilipigwa nikaenda mita10 hewani,nilipotua chini nikajikuta nipo peke yangu but mche wangu wa sabuni na walet nikakuta "NIL"yule jamaa alikua ni zaidi ya Van Dame aise khaaaa!kisha nikajikung'uta vumbi nikapiga mguu kurudi home Tegeta!
nitaipataje mkuu ..... good condition?