Kuna Tapeli mmoja aisee amefirisika anaitwa Mushi Nguku mtu wa kwetu Rombo yuko huko Tokyo na yeye amekuja kuokota mapikipiki na baiskeli,atatuletea kwa bei poa tunamsubiri kwa hamu aisee

Nahitaji engine complete ya xxr 500 honda sport, najua ni model ya siku nyingi kidogo lakini naihitaji niliharibu mkono wake na rings zilishakufa, so njia nyepesi ni kupata engine nyingine used! Thanks kiongozi