Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's almost 95% of CIF price.Kama kuna mtu ana uzoefu hivi mwaka ambao gari linatozwa charge ya uchakavu ni chini ya mwaka 1999 au 2000? Mfano nikiagiza gari ya mwaka 1999 nitatozwa kodi ya uchakavu na TRA?
Kama kuna mtu ana uzoefu hivi mwaka ambao gari linatozwa charge ya uchakavu ni chini ya mwaka 1999 au 2000? Mfano nikiagiza gari ya mwaka 1999 nitatozwa kodi ya uchakavu na TRA?
kama itaingia kabla ya mwezi wa 7,mwaka mpya wa fedha wa serikali si uchakavu.