Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 1960s wakati tunapata uhuru miji ya China ya Singapore, ya Korea, ya UAE, ilikua haina tofauti na miji ya Dar es salam, Mwanza Morogoro, Arusha na Siginda, Tanzania elishawahi kutoa misaada ya chakula kwa nchi za uarabuni, na Korea miaka hiyo.....sasa miaka ya 2000s hi miji ni tofauti kabisa, kweli na amini uchawi upo!!!!!!!

CcmKwani nani amewaloga??!!
Wachawi akina nani sasa; sisi tuliodumaa au hao wenzetu waliotupita?Miaka 1960s wakati tunapata uhuru miji ya China ya Singapore, ya Korea, ya UAE, ilikua haina tofauti na miji ya Dar es salam, Mwanza Morogoro, Arusha na Siginda, Tanzania elishawahi kutoa misaada ya chakula kwa nchi za uarabuni, na Korea miaka hiyo.....sasa miaka ya 2000s hi miji ni tofauti kabisa, kweli na amini uchawi upo!!!!!!!