In 1914 Henry Ford doubled the salary of his employees from £2

Miaka 1960s wakati tunapata uhuru miji ya China ya Singapore, ya Korea, ya UAE, ilikua haina tofauti na miji ya Dar es salam, Mwanza Morogoro, Arusha na Siginda, Tanzania elishawahi kutoa misaada ya chakula kwa nchi za uarabuni, na Korea miaka hiyo.....sasa miaka ya 2000s hi miji ni tofauti kabisa, kweli na amini uchawi upo!!!!!!!
 


Kwani nani amewaloga??!!
 
Wachawi akina nani sasa; sisi tuliodumaa au hao wenzetu waliotupita?
 
Kweli wachawi ni ccm. Bila hao tungekuwa sawa na South Korea au South Africa
Ccm ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…