In a deeply dillema..

unataka kupasuka kichwa bure.

Hujambo lakini??
Umepona red eyes?

what did you do to the guy which is so special, that has made him to be in touch with you always?
 
Being special to someone,c lazima sex.kip that in mind.
No, nilazima kuwe na base, that's why i have asked you ni kitu gani ulikuwa unamfanyia apart from sex! just share with me!
He must be missing something from you.
 

kama shida yake ni mchezo tu,Basi.am closing the chapter kwake.
 
haya endelea, hapo ni story tu usiku unaenda kula kinondoni makaburini.

Ila full mastory na mahug.

Mi mzima ma dia...unaona jicho lilivyonitoka??
Niache kwanza, nipo na marida!!
 
No, nilazima kuwe na base, that's why i have asked you ni kitu gani ulikuwa unamfanyia apart from sex! just share with me!
He must be missing something from you.

To be honest.have no idea,sijui anamic nini.May b my text,calls,advice,and my coy.but kwenye sex hatukufika bado.
 
haya endelea, hapo ni story tu usiku unaenda kula kinondoni makaburini.
Ila full mastory na mahug.
hahaha...lazima ujidai kijana wa ukweli..full ma upanga na maobey!
Kuna watu huwa wanaunganisha sana dala dala pale posta...akiagana na kadem chake anapanda za masaki, then mbele anashuka napanda za kwao mwananyamala!!
 
I have never slept with him.
Big up-gud and wise girl,
He does not fit in your shoes-yani hamuendani.
_Perhaps he was 'cheating' on you to force you into agreeing to bed him..
_All in all this guy is used to 'cheap' ladies and he doesnt know how to treat a real lady..

Advice: Even if he loves you realy, He still has a lot to learn about love and respect. So in the course of your relationship he is going to be a real pain not only in that area but also in others. You can choose to stay with him(if you truly love him) teaching him to abstain like you Or just ignore him and he will grow tired of disturbing you.
NOTE: hata kama unahisi anakuimpress kuna feelings nyingi huchangia hayo. Most of the times its is your heart tricking you....
 
To be honest.have no idea,sijui anamic nini.May b my text,calls,advice,and my coy.but kwenye sex hatukufika bado.
ooh, basi kumbe mlikuwa ndio mnaanza uhusiano cuz hizo ni preliminary stages in relationship!
Kama anakupenda kweli asingekuacha, ni ngumu sana kumuachia hivi hivi mwanamke unayempenda!
Huyo alikuwa anataka kupita tu kama anavyofanya kwa wengine, wewe ulivyombania akaamua kuondoka moja kwa moja!
 
ha ha ha, ulikuwa wapi kunipa huu ujanja siku nyingi?

Naanza kupanda za Masaki, nashuka red cross,
napanda za mwenge, nashuka moroco

napanda za Msasani ubungo, nashukia kwetu pale kwa Tumbo.

hahaha...lazima ujidai kijana wa ukweli..full ma upanga na maobey!
Kuna watu huwa wanaunganisha sana dala dala pale posta...akiagana na kadem chake anapanda za masaki, then mbele anashuka napanda za kwao mwananyamala!!
 
unajua kuna wanaume wanapenda kumiliki? hawajui kuacha.....
ukijifanya una huruma itakula kwako.....
 

Point of correction,Mimi ndiye nilie muacha baada ya kugundua his habit.Well he better go forever.kama shida ni hiyo tu.Pia aangalie na watu wa type yake ndo awafuate.other gals,when we fall in love,we fall for real.Siyo kwa wapitaji tu.And he shuld change that habit.Because kama ni hiyo sex tu.ataumiza wasichana wengi na c sifa kumpenda msichana kwa ajili ya sex tu.
 

I appreciate your contribution.This is the kind of answer i real want.God bles you petcash.
 
Nilikuwa na boyfnd wangu.but kwa baadhi ya vitabia vyake vya kuwa na wasichana wasichana wengi nikaamua kuachana nae.Inshort alikuwa ana nicheat sana tu.
Na uliza swali moja tu umeisha ona ana sex na wanawake hao au hujaona?

Kama hujaona vipi umemshakia ana cheat, we huoni kama sa zingine wivu ukiuendekeza sana una madhara yake, na moja wapo ni hi point wewe unamshakia mtu ana cheat wakati hujamuona ana sex.

Na kama kweli umemuona anacheat, hapo sasa u have to be really smart, you should never give a him another chance kama kweli ana cheat, because your just gonna keep getting hurt over and over again.
 
ha ha ha, ulikuwa wapi kunipa huu ujanja siku nyingi?

Naanza kupanda za Masaki, nashuka red cross,
napanda za mwenge, nashuka moroco

napanda za Msasani ubungo, nashukia kwetu pale kwa Tumbo.
lol..kweli wewe mkalii!
Unafahamu vituo vyote na route zote za daladala za mjini??
 

Nilikuwa na wivu sana tu nae hapo mwanzoni,na nahisi mpaka alikuwa anaboreka na kushangaa.to be honest i was over jelousy kwa kweli ,pia hao wasichana anao cheat nawajua .Ukimuuliza.jibu anajibu Lets break.kilichonikatisha tamaa zaidi,ni type ya text anazotaka kwa phone yake.Just normal text.no lovely text.Pia kuna situation moja ilitokea ilinitoa wivu wote mpaka leo hii.siwez ongelea hapa.
 
How old ar u ma dia kabla sijakupatia prescription
 
How old ar u ma dia kabla sijakupatia prescription

Age doen't matter is just a number.kunipatia nini?..kama mchumba nnae.lla huyu anae nikumbuka,he shuld not make me to leave da one i have for him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…