In a deeply dillema..

asinikumbuke kwa sababu ana wake sasa.atulie huko aliko.maana kama alinipenda kweli kama wachangiaji walivyosema asingeniacha.thats it.na kukata mawasiliano is a gud idea.thax.
 
Sisubirii kwake,coz yeye kaonyesha live ni mtu wa hit and run.waoaji wapo kaka.
yeah! waoaji wapo ila hao ambao sio wa shake well before use , i doubt kama bado wapo kwny ulimwengu huu..... anyway wishing you all the BEST kwenye safari yako ya Marriage bila tundi kwanza.
 
Well mimi ndiyo nafahamu mienendo yake.usikomalie sana,humfahamu.so.he was cheating on me.thats it.
Sasa mbona hujibu swali langu umemuona ana sex? mana kuna tofouti kati ya kufanya na maneno.

Unaweza kumfahamu mtu lakini huwazi kujua unndani wake, ndo mana umekuja uliza swali kama hili je anakupenda? sa kama unamfahamu, vipi uje uliza swali kama anakupenda au hakupendi.

Nyie ndo mkipelekwa mahakamani mara nyingi kesi zenu zina tolewa nje, mana hazina point ya nguvu.

Ni sawa sawa na mtu ameota kajenga dari, wakati yuko ndotoni.
 
asinikumbuke kwa sababu ana wake sasa.atulie huko aliko.maana kama alinipenda kweli kama wachangiaji walivyosema asingeniacha.thats it.na kukata mawasiliano is a gud idea.thax.
you have been showing all the signs of frustration gals muda wote ,,,,,to me hiyo ni kuwa you hv strong feelings of attraction(his charming charisma) possible love towards him ,its the matter of time tu.....jamaa anatakiwa akomae tu! otherwise RUN away from him, very quick ,run VERY FAST.....badili kabisa na namba ya simu.( tatizo sasa kumtoa kwenye hard disc ya kwenye ubongo wako ndiyo ishu)
 
alikusaliti vipi wakati chezo hujawahi mpa?

Mapenzi ya kisasa yako complicated mno, mie hata sijui nikushauri nini.

Ila kwa magazijuto ya haraka haraka, ulidhani humpi chezo afu akae tu anakusubiri hadi siku ya ndoa ambayo wala haijawahi ongelewa?

sasa km unaona mbeleni ni giza ,where is this dillema come from?......its just th matter of time and phewwwwww! you will bow to his demands....

asinikumbuke kwa sababu ana wake sasa.atulie huko aliko.maana kama alinipenda kweli kama wachangiaji walivyosema asingeniacha.thats it.na kukata mawasiliano is a gud idea.thax.
Hata sielewi unahitaji ushauri upi...? kama jibu unalo na una mtu wako!
Alafu nakuomba dada marida punguza ukali.....!
 
nimemtoa kitambo in my brain.
 
haha.just know is a cheater.
 
yeah! waoaji wapo ila hao ambao sio wa shake well before use , i doubt kama bado wapo kwny ulimwengu huu..... anyway wishing you all the BEST kwenye safari yako ya Marriage bila tundi kwanza.

pole.endeleen kushake well eeh.mpaka upate wel shaked.
 
Asanteni kwa ushauri wenu.Nimepata jibu.
 
JAMANI IPO HIVI;
1. Mwanaume akimpenda mwanamke... thamani ya huyo mwanamke huongezaka kadri wanavyochelewa kuingiliana kimwili kwa mara ya kwanza. na mkisha-sexy tuu... thamani ya mwanamke kwa huyo kaka hupungua ghafla.
2. mwanamke kama alisha wahi ku-sexy na mwanaume mwingine before, then yeye ni kinyume na hiyo sentensi ya kwanza. kwa mwanamke yeyote yule "mara nyingi TRUE LOVE HUWA KWA YULE ALIYEVUNJA BIKRA YAKE".
3. Ukitaka uje teseke sana maishani mwako.... BASI MPENDE MWANAMKE(THE REAL LOVE AMBAYO IDUMU KAMA MWAKA HIVI), ALAFU AKUACHE WAKATI HAJUKUTANA NAE KIMWILI. huta kuja msahau huyo dada.

(A). Sasa dada yangu, hiyo sentensi ya kwanza ndio inayo sababisha dilema zote hizo.
(B). In reletionship, jitahidini sana msiwe mnakuwa kama tatizo kwa wapenzi wenu. Hakuna mtu apendae matatizo.
 
Nami nashangaa,heti kasalitiwa wakati hawaja make sex!!!
 
Sleeping with someone doesn't mean there are contract for
something either marriage or what.Others used sex just for leasure!.keep that in mind.So saying that there are no contract.I don't get u.

You are right.
That is why he loves you.
And that is why he is sleeping with other women.:A S 13:
When you are ready, he might stop sleeping with other women.
 
Umenielewesha vyema.thax.
 
You are right.
That is why he loves you.
And that is why he is sleeping with other women.:A S 13:
When you are ready, he might stop sleeping with other women.
Mmh.may be.Personally,if my boyfnd slept with other gals,i think,he doesn't respect or love me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…