In a deeply dillema..


hehe ungejua?,pole yako,
 

i think,this is a gud idea.
 
Mpotezee mazima, tabia hiyo huwa anatafuta mahali pakupoozea anapokosa anajisogeza ili ukampe kidude chako
Uhakika ni kwamba ata ku Do nakatabia kake kakucheat hata acha.
 
Hivi akikutext text na kupiga ndio inatosha kuona anakupenda!! Pengine kashatendwa alipokuwa anataka kurudisha majeshi kwako. Akili kumkichwa bidada.


May be this is true.
 
Mpotezee mazima, tabia hiyo huwa anatafuta mahali pakupoozea anapokosa anajisogeza ili ukampe kidude chako
Uhakika ni kwamba ata ku Do nakatabia kake kakucheat hata acha.

I don't think this is a good idea
 
 
kingine marida kupigiwa simu sana haimaanishi unapendwa, au eti mtu ndo anataka kukuoa

ukifikisha miaka 30 hivi utaelewa kumbe hata zile kiss za kila siku huwa hazimaanishi kwamba mnapendana au

kuzaa na mwanaume ndo itamfanya akuoe

ninachokiona kwako ni kuhisi vitu ambayo havipo hata kidogo, unampenda wewe ila mwenzako anampenda mwingine

kwako anapenda kuchat tu na pengine u mzuri katika hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…