Hivi MUSLIM UNIVERSITY WAO WANA TAWI LOLOTE ZAIDI YA MOROGORO?KAMA HAWANA WAJIFUNZE HAPA HATUTAKI LAWAMA HAPO BAADAE!Leo ni siku rasmi ya uzinduzi wa STEMMUCO na mgeni rasmi ni Mh Lukuvi akimwakilisha waziri mkuu, stemmuco ni chuo kikuu kishiriki cha Mt Agustino Tanzania. Chuo kilianza sept 2009 kikiwa na course moja ya (B.AEduc) na kwa mwaka uliofuata course za B.A sociology na Bachelor of philosophy with education zilianzishwa. Kwa mwaka mpya wa masomo 2012-2013 kuna course mpya tatu zitaongezwa nazo ni Bachelor of business administration(BBA), bachelor of laws( LLB) na nyingne mbalimbali kwa level ya certificate.
College principal:
ni Rev.Dr.Kamuhabwa Longinus Rutagwelera
Stella Maris Mtwara University College.
wewe sasa unataka kuchokoza watu...!Hivi MUSLIM UNIVERSITY WAO WANA TAWI LOLOTE ZAIDI YA MOROGORO?KAMA HAWANA WAJIFUNZE HAPA HATUTAKI LAWAMA HAPO BAADAE!
utashangaa wanaoenda kusoma huko ni wachaga na makabila mengine...wenyewe wa 'ntwara' wanaishia kucheza ngoma za jando na unyago...!
kwani niliyoyaandika yana uongo?Mkuu usiingize ukabila hata sehemu isiyohusika!
Sio uchokozi,ni ukweli halisi!tunataka maendeleo kwa woote,so kila kundi tujipange vizuri na tushiriki kuhakikisha tunasonga mbele wooooooote!wewe sasa unataka kuchokoza watu...!
kwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.utashangaa wanaoenda kusoma huko ni wachaga na makabila mengine...wenyewe wa 'ntwara' wanaishia kucheza ngoma za jando na unyago...!
kwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.
kwani niliyoyaandika yana uongo?
ndugu mbna povu lina kutoka mimi nilichofanya ni kupresent takwimu kama zilivyotolewa.Mlitaka wawe elfu kumi? Mtwara yenyewe ina watu wangapi? Inamaana watu wa mtwara wasome hapo pekee wakati vyuo vipo vingi? Hebu pevuka uwezo wa kufikiri namna hii ndio mnadhalilisha wasomi wa nchi hii, poor thinking, watu mnawaza ukabila na dharau juu ya wenzenu. Aliyeamua kujenga chuo kule sio mjinga.
Wakati nasikia saut mtwara nilipadharau ila nilipofika nimeamin hawa wakatoliki wanaweza.pametulia sana na wamejipanga tatizo chuo kimejaa wahaya na wasukuma watu wakusini wakuhesabu.big up wana stemmuco
lakini bado kuna watu watakuambia ni nyerere huyokwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.
Mbona UDOM haina wagogo wengi hutujasema!? Wengine hatupendi tusome maeneo ya Nyumbani:kwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.
utashangaa wanaoenda kusoma huko ni wachaga na makabila mengine...wenyewe wa 'ntwara' wanaishia kucheza ngoma za jando na unyago...!
ni kweli kaka ni kweli, it doesn't matter...na tunatambua uwepo wa wanafunzi weeeengi wenye asili ya lindi na mtwara katika vyuo vyetu vingine nje ya mtwara/lindi kama vile udsm,mum,ifm,mzumbe nk...wabongo kwa unafiki wa kuficha maradhi siwawezi...eti ukabila...!Does it matter mchagga akisomea Mtwara na mmakonde akisomea Kilimanjaro? Kwani lazima usomee ndani ya Mkoa/Wilaya uliyozaliwa?