Sasa St Augustine university of Tanzania ndicho chuo kikuu chenye matawi mengi zaidi kama ifuatavyo:
mtwara,iringa(rucco) bugando(medicine), songea, bukoba, moshi, morogoro mjini na ifakara(medicine)
- Pia ndicho chuo chenye wanafunzi wengi zaidi jumla yao wakifikia 27000 ikifuatiwa na udom 21000.