ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi nafanana sana na Tupac na kwa mbali nafanana na godluck gozbert na mke wangu anafanana na mdada aliye pichani hapo yaani copyright kwa zaidi ya asilimia 96..je wewe na mpenzi wako mnafanana na kina nani?